Director General wa Adidas ametangaza uzalishaji katika viwanda vyao vya China umeanza tena baada ya rais Xi Jinping kutangaza hali salama.
Ulaya na Marekani supermarkets zinaishiwa na bidhaa na watakwenda kununua China in bulk.
Lakini manunuzi yalisimama kutokana na coronaUlaya na Marekani wamekuwa wakinunua China in bulk hata kabla ya mkataba mpya wa biashara wa Trump.
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ni kama India japo nchi ni tajiri lakini watu wake bado wanakipato cha chini kilinganisha na western countries. Kuwa karibu na China sio sababu ya watu kuvuka mipaka na kuingia nchi nyingine, Russia ilikuwa ni nchi ya kwanza kutoa tahadhari kwa watu wake maybe imesaidia kuwalinda. Na nadhani Russia wamefanya hivyo kwasababu waligundua mapema kama ugonjwa huu unashamulia na kuuwa wazee zaidi kuliko vijana wenye afya nzuri. Na Russia ina wazee wengi kuliko vijana.
Nope nachotaka kusema miongoni mwa hao Askari wa marekani walikuwemo majasusi ambao walikua na vials za virus na walivipandikiza eneo la Wuhan makusudi,
Nachotaka kusema Ni kuwa uwezekano mkubwa upo,pentagon Wana antidotes za corona
Huyu jamaa ni muongoHii umeitoa wapi Elungata?.
Sasa tunachanganyana wengine wanahisi marekani ndio katengeneza alafu amewatupia wachina
Wewe unasema China wametengeneza wenyewe
Mwaka huu tutasikia mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Search kuhusu 5G Launching in Wigan
Pia fuatilia -Why America is Afraid of Huawei' s 5G..
Ukimaliza hizo nafkiri utakua umepata picha kidogo ya nini kinaendela
It also part of my real name.Haha Mkuu, swali lako kimekaa kama wale wasiojulikana 😁. But yeah hilo ni part of my name.
Kuna Agenda 21 ya kupunguza watu duniani...hii corona yaweza pelekea nchi zikaacha kutumia pesa za makaratasi na shilling ili kuepuka kusambaza virusi hivyo tukaishia kutumia hela kidigitali...mfano mpesa na kadi za benki..huo ni mpango wa NWO.....
Hii sehemi inanipa kaukweli flani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sawa kabisa china ndo ananufaika zaidi na athari za covid 19..ngoja sasa aje atusainishe mikataba ya kitwana ili atusaidie kupambana na corona
AFRICA NA ULAYA NI WAHANGA WA GLOBAL WAR ON ECONOMY SUPREMACY kati ya china na marekani
China wameudhibiti no more!
Hizo masks pekee sasa hivi ni bidhaa inayohijika duniani kote. Nadukani zimekwisha unapata kutoka ebay na Amazon. Zote zinatoka ChinaAtanufaikaje wakati wateja wake wamejifungia ndani na wananunua mahitaji muhimu tu kwa sasa?
Mashine,vifaa vya ujenzi,furniture na vifaa vya michezo ndio bidhaa kubwa za China kwenda Marekani na Ulaya,kwa sasa hivyo vyote havihitajiki sababu kazi zimesimama sasa China ananufaikaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Seema umombo haupandi,,mbona nimeweka link kibao,zikiwemo video clipsHuyu jamaa ni muongo
Marekani nasikia wameiba test kit 500,000 toka Italy usiku huuHizo masks pekee sasa hivi ni bidhaa inayohijika duniani kote. Nadukani zimekwisha unapata kutoka ebay na Amazon. Zote zinatoka China
Hizo masks pekee sasa hivi ni bidhaa inayohijika duniani kote. Nadukani zimekwisha unapata kutoka ebay na Amazon. Zote zinatoka China
Ili kuanguangusha himaya na kuinuka kwa himaya kuu nyingine lazima haya yatokee
China alitamani usa aingiie vitani na irani ile ampige proxy war kwa kusaidiana na russia na mahasimu wengine wa usa.marekani akashitukia dili..CHINA NDO WALIOTENGENEZA VIRUS they gain much financially and strategically from the aftermath of covid 19
fuatilia global stock market utaelewa