Kitambo sana hiyoHarafu nahisi mzumbe huko unapo sema ni mbali sana...hapo barabarani kulikuwa na uwanja inatizamana na hiyo Sheli...
Uwanja ulikuwa mbele ya nyumba ya warabu Kuna kibinti kimoja kilikuwa kinaitwa SAFAA...ila siku hizi nahisi atakuwa mshangazi🤣🤣🤣
Naizungumzia magomeni ya 1999 ujue
Haya salimia wakubwa zako...🤣🤣🤣Kitambo sana hiyo
Kwenu Kuna tizama hiyo madrasa...? 🤣🤣🤣😂😂😂 sio hapo, hapo ni kwa Mzee Beka(kwa akina Hamada)
Nipe mkundu huo tujue kama mimi ni msenge au sio.wa***sng kama nyie hamtakuja kuisha,..unamjua chonji wewe.
Nipe mkundu huo tujue kama mimi ni msenge au sio.
Shoga tuu huyo achana nae.Acheni hizo wanangu...sisi ni ndugu tusi toleane maneno machafu...sio vyema...!
Ndiyo
Mpotezee rafiki yangu...huu mtandao ukiutumia vizuri connection zipo humu humu...!Shoga tuu huyo achana nae.
Halafu hawa jamaa ukoo wao wote ni watu wa madawa huyu ana Yule mdogo wake Kwa dada yake wa pale ilala ametoka juzi tu keko baada ya kukaa miaka 10 na kupata strokeNa kesi hii ilikuwa na msukumo nyuma yake.... ikimlenga huyu huyu chonji ndy yote haya yakatokea
Kwanza hiyo siku jamaa chonji anapigwa ambush kituo cha polisi magomeni wala urafiki walikuwa hawana taarifa
Umeme ulizimwa eneo lote hilo la magomeni
Baharia siku hiyo nlikuwa grand Hotel pale nna mgeni
Ebwana ilikuwa kama movie....
Chonji walipomtimbia kwake alijua anavamiwa na majambazi
Mule ndani kwqke jamaa alikuwa na mzigo mahela,kuna watu walikuwa wanapack kazi wengine wana hesabu mijihela nk
Jamaa alipelekewa watu wa maana watu walipigika sana maana yeye si alikuwa na watu wapiga ngumi 😄 akapelekewa watu wa ngumi pia
Ila ile operation kwake hata polisi magomeni,urafiki,obay walikuwa haijuwi kama inafanyika
Ova
Mkuu mimi sina tatizo kabisa humu kuna watu naheshimiana nao vizuri tuu ila nakujibu kulingana na ulivyokuja huwezi kuniattack kwa matusi nikakujibu vizuri NEVER.Mpotezee rafiki yangu...huu mtandao ukiutumia vizuri connection zipo humu humu...!
Ndiyo
Miaka hiyo, vijana wa Dar wanawaza kwenda Ulaya, vijana wa vijijini wanatamani kuja Dar! Huu mtazamo unaenda katika nyanja mbalimbali za kimaisha!Enzi za uhuni magomeni vijana wengi walizamia na wengine Hadi Leo wapo nchi za mbali..!
Miaka hiyo, vijana wa Dar wanawaza kwenda Ulaya, vijana wa vijijini wanatamani kuja Dar! Huu mtazamo unaenda katika nyanja mbalimbali za kimaisha!
Watoto wa Magomeni, Ilala, Kinondoni na Kariakoo miaka hiyo ndiyo walikuwa DSM! Sinza walikuja baadaye sana! Weka pembeni wale wa kishua from Masaki, Osterbay na Upanga wale walikuwa next level!
Usishangae sana sekta ya michezo na burudani kutawaliwa na watoto wa hayo maeneo! Halafu kwenye biashara na uongozi wamejaa watoto wa kishua kutoka pande hizo! Unaweza kuta hata wanaotamba huko shamba kumbe alitoka DSM!
Sifa kuu ilikuwa kupendana na kutojiona bora kuliko wengine hata kama umetoboa!
Leo mtu akipata kinyumba na gari anahisi ameyapatia na kuwadharau hata wenyeji waliompkea na kuwaona hawana akili! Ukifuatilia makuzi kumbe alikulia shamba! Siyo wote lakini!
Mkuu hawa wauza sumu haujasoma nao ukiona kesi unawatema....Dar kila mtu ni maarufu chief, ebu elezea ndio akina nani hao wachoji...🤔
Yah...Kuna watu wametoka Kijijini wanataka kulingana na born town 🤣🤣🤣Mkuu hawa haujasoma nao ukiona kesi unawatema....
Sema vipo vijiji sawa na mjini tu..Yah...Kuna watu wametoka Kijijini wanataka kulingana na born town 🤣🤣🤣
Kumbe tunahangaika wakati hela zipo nje nje ni kujilipua tuu....
Wapi...nitajie Kijiji hata kimoja chenye kijana alie thubutu kutoka Kijijini na moja kwa moja akazamia🤣🤣🤣Sema vipo vijiji sawa na mjini tu..