Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Itakuwa tunafahamiana hivi pale magomeni panapo jengwa sheli muda huu pembeni yake kulikuwa na nyumba wanauza mkaa...

Kwenye hiyo nyumba Kuna kijana alikuwa anaitwa George unamfahamu...?​
 
Kwa mtama mchungu hiyo
Ilikuwa soooo...
😄 nyumbani kwake ilikuwa kuna foleni kama mko ubalozini
Haya maisha haya Acha tu

Ova
 

Nani walikuwa well trained? Tanaka na Tanaruza? au marehemu Mashali duh, yaani unataka kumfananisha Chonji na Escobar wa Colombia? kuwa serious basi.

Chonji alikuwa na nguvu iliyomlinda, ile familia ilivyomtema na yale maujinga yake ndio wakammaliza, hakuwa nanguvu yeyote zaidi ya ile familia na corrupting poor law enforcers.
all in all katajirisha wengi akiwemo msanii mkubwa na bosi wake na wale vijana wa pale redioni ghorofa jeupe ni vyema wakamkumbuka bosi wao, na yule dogo asimbwage swaiba wake sijui nini kilitokea.

Kumfananisha Chonji na wahuni wa Colombia na Mexico kama Pablo, Sinaloa, CJNG nk nikuwakosea heshima sana.
 
Sidhani....! Hii list ni ndefu Kuna li papa li moja kwikwete alilikabizi kwa FBI likaenda kufungwa ULAYA huko harafu nasikia limebakisha muda mchache litoke...!​
Beka ranger namjuwa tokea skiwa fundi maredio mara nasikia kaingia kwenye mipango,anyway kwa kino na migomigo hyo kawaida tu
Sema yule alikamatwa kwa kuvitwa,FBI hao hao walikuwa wanamsaka...kuna watu waliwakamsta nje huko ndy wakamtaje beka
Ona sasa wazungu walivyokuwa na akili wakikutaka,hawana haraka si walikuwa wanafanya naye biashara na kumpa pesa
Dili moja wakanuambia kwann usije huku uchukue tu pesa yako na kuna mpango mkubwa zaidi,beka si akaenda kichwakichwa ndy akanasa 😄

Ova
 
Kweli Mkuu,ndio maana mpaka leo Magomeni ile shoo wanakwambia walikuja wajamaica wenyewe.
 
Hii biashara ina mambo 3
1.kuishia jela
2.kifo
3.kuwa mtejaaa

ova
Wanao uwawa au kutupwa jela ujue mda wao ulisha isha na upo mfumo mwingine wanakuwa kama hawaamini maana walisha zoea kupiga hizi dili, ni kama vile wanakaidi amri ndiyo kinawakuta kama kina chonji,

Kuwaondoa hao siyo kuwa biashara ya madawa imeisha jua kabisa kuna safu mpya ipo na hii haiguswi, biashara ya madawa haitakaa iishe...

Mambo mengine yanayo endelea hapa dunia inayo husu drungs na mfumo wake kajiunge kwenye ile taasisi ya kupambana na madawa..

Wanacho simulia kwenye hii thread ni sinema tu za kupangwa
 
Nani walikuwa well trained? Tanaka na Tanaruza?
Ulikuwepo hiyo siku?? Unajua mchezo ulichukua muda gani?? Uliza kitengo walipata upinzani gani na kutoka kwa kina nani! Wewe unawafahamu hao, wengine unawajua??

Halafu sijafananisha mtu, nimeelezea tukio la kukamatwa kwake na siyo kama muuza unga wa kimataifa! Au nikupe ushindi kwa ubishi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…