X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Jaribu kuwa muelewa, nimeelezea tukio la kukamatwa kwake linamfanano wa kuuliwa Escoba au kumzidi.Unafahamu mpaka Escoba anauliwa alikuwa kwenye mazingira gani?? Alikuwa mpweke na amejichokea halafu hana tena msaada!
Sisi watoto wa Magomeni tumeshuhudia ambush kubwa mbili za wauza madawa maarufu hapa Tanzania! Kwa umri wangu nimeyaona haya, wahenga wataongezea!
1) F.B.I walipoamua kutafuta lao mara baada ya Osama kulipua ubalozi! Magomeni haikukalika! Wale wahenga mnamkumbuka ule msako wa F.B.I kwenye ile nyumba ya muuza madawa maarufu wa Magomeni miaka hiyo??
2) Ambush ya serikali ya Tanzania dhidi ya Chonji! Fikiria serikali inatumia rasilimali zake kubwa kumkamata mtu mmoja! Serikali inakata mawasilino ya mkoa, inatumia magari zaidi ya 20, inatumia kikosi maalumu kumkamata jamaa!
Ok, wale wahenga wa Kinondoni mtaongezea yenu, ila la komando Tamimu msilikose!
Itakuwa tunafahamiana hivi pale magomeni panapo jengwa sheli muda huu pembeni yake kulikuwa na nyumba wanauza mkaa...
Kwenye hiyo nyumba Kuna kijana alikuwa anaitwa George unamfahamu...?
Kwenye hiyo nyumba Kuna kijana alikuwa anaitwa George unamfahamu...?