Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Ni hatari
 
Ila hii nchi ni unyama umetawala... Ukiangalia watu wanavyochinjwa na Ccm mpaka inaogopesha, sometimes unatamani upaze sauti lakini ukitafakari unarudi zako nyumbani unalala ili yasije yakakupata...

Ukiwafikiria akina Mawazo, Mdude, Ben Saanane unaona bora ulale zako na uzime simu kabisa maana unaweza ukajikuta ume-comment vibaya hata huko mtandaoni..
 
Kwa watu wote wanaofanya haya, imefikia hatua wabadilike. Mbele ya Mungu wataadhibiwa hapa duniani na hata Mbinguni.

Na yale mambo mnayofikiri mnayapigania, nayo ni ubatili mtupu. Yatayeyuka kwa kasi kama barafu ndani ya tanuru ya moto mkali wa kuchomea chuma.

Tuheshimu maisha ya watu. Mwenye haki ya nani anaishi na nani hatakiwi kuishi, ni Mwenyezi Mungu peke yake. Sio sababu ya kutaka madaraka, ndio kuwashughulikia wale wote wanaohoji. Madaraka yanakuja na kwenda. Ila matendo yetu yatatuandama milele
 
Kwamba genge la Maria Sarungi waingie wodini wakamchinje mtu huku walinzi wakiwaangalia tu then waondoke salama?kuweni basi na utu na roho za watu haya madaraka yanawafanya mnakosa kabisa utu wakuu
chizi hilo achana nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…