Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

This is far too low of you!
 
This is far too low of you!
Lakini inawezekana, maadui wa serikali wanaweza fanya mauaji katika mazingira ambayo lawama zitaenda serikalini.

We sema ni kazi ya serikali kulinda raia wake, hata wakosoaji wake inatakiwa kuwalinda, na iwapo kuna mtu anazunguka huko kuua wakosoaji ni jukumu la serikali kumdhibiti.
 
Hizi ni akili za Facebook
 
Siamini hii… kama serikali ingekua haihusiki trust me wauwaji wangekua washadakwa kama sio kuanikwa hadharani mapema mnooo.
Kwasababu mauaji haya yanafanyika kizembe mno, kiasi kwamba hata mbumbu akiamua kufatilia anaweza kujua watekelezaji!
 
Eeeh picha inatisha hiyo aisee, yaani wameingia wodini na wakamchinja hiyo wodi imekaaje, ilikua usiku au? Dah!
 
Siamini hii… kama serikali ingekua haihusiki trust me wauwaji wangekua washadakwa kama sio kuanikwa hadharani mapema mnooo.
Kwasababu mauaji haya yanafanyika kizembe mno, kiasi kwamba hata mbumbu akiamua kufatilia anaweza kujua watekelezaji!
Ni kweli binafsi naamini "intelijensia" ya polisi ipo vizuri sana yaani huwezi kufanya kosa eti la mauaji utoroke mikono ya sheria kirahisi hata ukifuatilia matukio yanayotokea kwa wananchi wa kawaida ya mauaji wengi sana huwa wanakamatwa mapema sana, haya ya wasiojulikana hawakamatwi kwa sababu hawatakiwi kukamatwa means wanajulikana ni kina nani ila polisi hawatakiwi kuwakamata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…