Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Umeelewa nilichokiandika lakni?? Nimesema ni wanawake wachache sana wataweza lipia hiyo gharama kwa hapa Tanzania...

Kwa hao wachache labda utakuwa miongoni mwa hao ambao wataweza kulipia...

Ila asilimia kubwa hawatokuwa na uwezo huo.
Umesema 'naona wadada wanashangilia wanadhani unaenda na elfu kumi' dharau kubwa sana hii ututake radhi
 
Umesema 'naona wadada wanashangilia wanadhani unaenda na elfu kumi' dharau kubwa sana hii ututake radhi
Nimesema hivyo kwa kuwa naona mnashangalia bila kuwa na information zaidi...

Kwa kukugusia tu hiyo gharama yake inaweza fika hadi milioni 25 fedha taslimu za kitanzani hata wakisema huduma ni milioni 10 utatoa hiyo fedha...
 
Una uhakika gani kuwa hatujui?
 
JF siku hizi kuna vilaza kiasi hiki kweli? Inasikitisha sana
 
Ni vizuri sana ila waangalie na garama ambayo mtanzania wa kawaida anaweza kuimudu (wanyonge kwa mujibu wa JPM), nina ndugu yangu alipandikizwa Nairobi yaani vipimo na upandikizwaji tu iligarimu karibia 40, milioni... na alibahatika kupata mapacha baada ya kukaa kwenye ndoa mika 21 bila mtoto. Mungu akampa wa kike na kiume kupitia IVF..ila pesa ni ndefu sana.
 
Umeongea ukweli, naona wengi wanashabikia tu bila kujua gharama halisi...

Wakati ilitakiwa kuhoji kuhusu gharama, maana najua kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu kupata hicho kiasi cha fedha....

Wengine hawajui hata kesho yao itakuaje, umuambie atoe gharama ya milioni 40 tena hapo bei ni fair kabisa, kwa nchi za wenzetu gharama hufikia milioni 80 hadi 120...

Wasimuone pale Jackline Mengi anafurahia wale mapacha ni pesa nyingi sana imetumika pale...

Serikali ikifanikisha hilo itabidi iweke bei rafiki kwa watanzania wengi, itasaidia sana...
 
Influenza, Ni hatua nzuri; hapo kwenye figo ni vizuri wenye mapenzi mema wakaanzisha "Foundation for Kidney Transplanting": kwani wengi wenye shida hizi ni umri mkubwa ambao hawana kipato tena (wastaafu)
 
Safi , ingawa tumechelewa kidogo, baadhi ya nchi hapahapa Afrika walitutangulia kwa teknolojia hii.
 
Hongera kwa hilo ila usiwe mfinyu wa habari za ukweli kuhusiana na hii kitu,yes gharama ni kubwa mno sioni mtanzania wa kawaida akimudu gharama zake na la muhimu zaidi ni mafanikio ya upandikizi ni LAZIMA tuelewe kuwa ni asilimia ndogo sana ya kfanikiwa upandikizaji na ni process inayochukua muda na majaribio mengi.
 
Suppose mlichangia harusi kiasi cha TZS 40 million na hiyo ndoa haikutoa matunda; mkiombwa kuchanga TZS 40 million ili ndoa mliogharamia itoe tunda hamtatoa?
 
Suppose mlichangia harusi kiasi cha TZS 40 million na hiyo ndoa haikutoa matunda; mkiombwa kuchanga TZS 40 million ili ndoa mliogharamia itoe tunda hamtatoa?
Watanzania ni watu wenye moyo wa upendo na imani watawachangia bila shaka..
 
UFINYU WA HABARI??????Sijakuelewa.
 
Suppose mlichangia harusi kiasi cha TZS 40 million na hiyo ndoa haikutoa matunda; mkiombwa kuchanga TZS 40 million ili ndoa mliogharamia itoe tunda hamtatoa?
Hakuna mtu ambae atakusaidia matibabu Tanzania hii, hao wanaolia kuomba misaada ya matibabu, unafikiri hawakufanya harusi za garama wote? Watoto yatima walio kwenye makambi ya kulelea watoto unafikiri wote hawana ndugu tena wengine wenye uwezo mkubwa sana ila hawana time na hali za wengine? Kusaidiana kwenye mambo yahusuyo afya na elimu si utamaduni wetu kabisa.
 
Basi wale ambao hawajabahatika kuolewa au kuoa na wenye upungufu wa nguvu za kiume Basi nafikili hii itawasaidia.
Saaaaaaaaaana,,,,swala LA kuitana wagumba litapotea labda uamue mwenyewe kutokuwa na mtoto na bongo tumechelewa saaana kuna wameaangaika sana kutafuta watotooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…