theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Umeelewa nilichokiandika lakni?? Nimesema ni wanawake wachache sana wataweza lipia hiyo gharama kwa hapa Tanzania...Kwa hiyo umeambiwa process hizo sisi hatuziwezi?
Kwa hao wachache labda utakuwa miongoni mwa hao ambao wataweza kulipia...
Ila asilimia kubwa hawatokuwa na uwezo huo.