rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Ndugu ebu tembelea wanandoa ambao hawana watoto kwa mda mrefu,,zen ujekuchangia tena mada.Hawa muhimbili wametuonaje sisi. Badala wapambane nauondoaji wa magonjwa wao wanaleta ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu ebu tembelea wanandoa ambao hawana watoto kwa mda mrefu,,zen ujekuchangia tena mada.Hawa muhimbili wametuonaje sisi. Badala wapambane nauondoaji wa magonjwa wao wanaleta ujinga
Hasa kwa wanaume.Elimu ya uzazi bado ipo chini sana hapa bongo maana kuna comment huko juu dah!!
Weng wanaotoa mchango hawajawai kupata changamoto kwenye uzazi.Elimu ya uzazi bado ipo chini sana hapa bongo maana kuna comment huko juu dah!!
Hahahaaa acha kunitisha Dada, Mimi mzima nakumiss sana aisKwa wanandoa haina shida, ni msaada mzuri kwa wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida,ila kwa masingle mpite tu kuna moto mkubwa huko mbinguni utakuwa unakusubiri hahahahaa!!!
Mambo vipi mdogo wangu? Nakusalimu katika jina la Bwana .......
Mimi ndio natisha watu? Kivipi?Acha kutisha watu....na mpaka ikifika 2025 mambo yatakuwa safi sana kwa ambao tumehangaika kutafuta watoto bila mafanikio.
Yaani mtu aende akatoe hela yake apandikize mimba then aje akubambike wewe??Hapa kinga lazime zitumike sana maana kuna kubambikiwa mimba kunafata...
Itakua sio chini ya 10 M TshHiyo gharama sasa
Kama serekali ikitia ruzuku still haitashuka 10+M ila isipotia ruzuku itafika mpaka 25+m Tsh !Nimesikia gharama zao zinaanzia 2m mpaka 10m inategemea ukubwa wa tatizo
Inaonyesha watu hawaelewi hii inaendajeYaani mtu aende akatoe hela yake apandikize mimba then aje akubambike wewe??
Kabisa yani.Weng wanaotoa mchango hawajawai kupata changamoto kwenye uzazi.
Yani kuna watu hata sijui wanawaza nini tu. Nimegundua wanaume wengi wanashida ktk elimu ya uzaziYaani mtu aende akatoe hela yake apandikize mimba then aje akubambike wewe??
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliYani kuna watu hata sijui wanawaza nini tu. Nimegundua wanaume wengi wanashida ktk elimu ya uzazi
Kwann kusiwe na kujaamiana?makubwa kwa hiyo hakuna kujamiana tena? hahahah
Hahahahahah na kwelii uyu anawaza cjui vitu gani yaani makorokochoYani kuna watu hata sijui wanawaza nini tu. Nimegundua wanaume wengi wanashida ktk elimu ya uzazi
Hakuna aliyepinga hilo ila hiyo ni njia ya kusaidia wale ambao kwanza mimba zikitunga zinatoka zenyewe au wanaume ambao wakitoka mbegu zao zinakuwa hazina nguvu/hazina mkia kwaiyo zinawai kufa muwege mnaelewa kdg sio kulazimisha kuelewa... mimba halali ni ile inayotungwa kwa manii kuingia tumbo la uzazi baada ya uume kupenya ukeni; hiyo ndio njia pekee aliyoumba Mola wetu kuendeleza kizazi na sio vinginevyo.