Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Kwa wanandoa haina shida, ni msaada mzuri kwa wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida,ila kwa masingle mpite tu kuna moto mkubwa huko mbinguni utakuwa unakusubiri hahahahaa!!!


Mambo vipi mdogo wangu? Nakusalimu katika jina la Bwana .......
Hahahaaa acha kunitisha Dada, Mimi mzima nakumiss sana ais
 
Kama nawaona Waganga walivyonuna maana walikuwa wanawala wadada bure bure kisa kupata watoto
 
Hii Huduma itawafaa Sana wakuu wa Mikoa![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimesikia gharama zao zinaanzia 2m mpaka 10m inategemea ukubwa wa tatizo
Kama serekali ikitia ruzuku still haitashuka 10+M ila isipotia ruzuku itafika mpaka 25+m Tsh !
 
Sawa
Screenshot_20191122-092348.jpeg
 
... mimba halali ni ile inayotungwa kwa manii kuingia tumbo la uzazi baada ya uume kupenya ukeni; hiyo ndio njia pekee aliyoumba Mola wetu kuendeleza kizazi na sio vinginevyo.
Hakuna aliyepinga hilo ila hiyo ni njia ya kusaidia wale ambao kwanza mimba zikitunga zinatoka zenyewe au wanaume ambao wakitoka mbegu zao zinakuwa hazina nguvu/hazina mkia kwaiyo zinawai kufa muwege mnaelewa kdg sio kulazimisha kuelewa
 
Back
Top Bottom