umemsikia mtaalamu vizur?Hii Tanganyika kwenye tunatua MRI za mtumba
Hawa mafisadi hawajali afya za Watanganyika
Ufanyike uchunguziumemsikia mtaalamu vizur?
Mtaalamu amekiri kwamba zipo MRI ambazo hazitoi sauti kabisa,ni za kisasa zaidi..kwamba kama taifa tumeshindwa kuzinunua hizo mashine za kisasa?umemsikia mtaalamu vizur?
Serikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?Dr. Mwaisa amesema ukweli, Dudubaya pia amesema ukweli. Mwashine yetu ni ya kizamani inapiga makelele na inatumia muda mrefu kufanya vipimo.
Badala ya kununua "mavi eite" serikali ingekuwa serious kwenye kujali maisha ya mtanzania wangewekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu wa kuvitumia na matengenezo.
Unajua watu wa kanda ya ziwa wamenyooka sana. Dudu zuri kawapiga za uso MOI..press release itawafunga maana ni ushahidi watu wanaweza kwenda mahakamani.Hii ndio impact ya msanii wa Hip Hop. Unachana mistari mpaka mamlaka zinakaa vikao kujadili. Hii ni press release ya 3 hawajatoa majibu kabisa
Dudu anawapa za uso wasomi, hii ni balaaMuhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI
MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana mgonjwa anapokuja kwenye MRI lazima anaambiwa atoe vyuma vyote alivyonavyo anabadilishwa nguo anavishwa nguo maalum ndio anaingizwa sasa kwa sababu ya aina ya utengenezaji wa mashine ndio inakuwa na masharti ya ziada.
Mashine tulizonazo hapa sisi zinatoa kelele kubwa sana ambayo ukimuingiza tu mgonjwa ukamuacha vilevile hofu itamfanya mgonjwa asitulie na kutulia ni kazi ya muhimu sana katika hiki kipimo, Mashine ya MRI ina sauti kubwa kuanzia DESIBELI 100..." amesema Mpoki Ulisubisya -Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
-----
Pia soma: Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India
Ila mtoto wa Rais,Waziri wa Habari na Serikali nzima wananunua magari ya kuanzia milioni 500 mpaka Bilioni 1 na zaidi. Nani ameturoga?Mtaalamu amekiri kwamba zipo MRI ambazo hazitoi sauti kabisa,ni za kisasa zaidi..kwamba kama taifa tumeshindwa kuzinunua hizo mashine za kisasa?
Wao wakiumwa wanaenda kutibiwa nje za nchi..who cares? Sisi watoto wa maskini tupambane hapahapa nchiniIla mtoto wa Rais,Waziri wa Habari na Serikali nzima wananunua magari ya kuanzia milioni 500 mpaka Bilioni 1 na zaidi. Nani ameturoga?
Inaweza kununua gari 183 za halmashauri zote nchini, kwa kila gari milioni 200 piga mara idadi. Lkn mashine moja ni kipengeleSerikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?
Kwa bei ya Landcruiser mbili zile wanazopenda kuweka matako yao unapata mashine yenye uwezo wa 1.5Tesla.Serikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?
Inasikitisha sana mkuu,yaani hosp kubwa kama muhimbili,serikali inashindwa kuwekeza japo nguvu hapo inunue mashine ya kisasa japo moja kwa nchi nzima tu kweli? CCM inaumiza mnoo wananchiKwa bei ya Landcruiser mbili zile wanazopenda kuweka matako yao unapata mashine yenye uwezo wa 1.5Tesla.
Ukitaka ya 3Tesla (nzuri kabisa) kutoka kampuni kama Siemens basi ni kama Landcruiser tano tu.
Lakini ndio hivyo tena, wana CCM matako yao yana allergy na magari ya bei nafuu, madaktari wao wamewashauri waweke makalio yao kwenye hayo mashangi.
Umaskini wetu ni wa kujitakia kwa kuruhusu wapumbavu kututawala.