Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Kwamba mpaka mbele mkuu?? Unataka kuniambia hyo mashine ya kisasa ni bei gani? Kiasi kwamba sisi nchi za Africa serikali isiweze kununua?? Au ni vipaumbele tu kwa kuwa wao wanatibiwa nje za nchi?
 
Sahihi kabisa mangi, hata wewe ukiwekwa sehemu unapata hizi neema utakula na kukaa kimya.

Ni wazalendo wachache wanaweza kusimama kwenye ukweli na haki.
Hapo tatizo ni walaji ama wenye Mali zinazoliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…