Bilioni ni pesa ndefu kwa mtu mmojammoja1.5 au 3 Tesla MRI machine inaweza kufika TZS. 8 billion, uache kazi ufanye kazi. Hizo ndio zina decibels za kawaida kwa mtu kuhimili.
PUnda afe ilimradi mzigo ufike nani anajali afya za watanganyika? Kiujumla Muhimbili is corrupted ndio maana kila uchwao wanamjibu dudubaya hoja ambazo hazina mashiko PATHETIC!Hii Tanganyika kwenye tunatua MRI za mtumba. Hawa mafisadi hawajali afya za Watanganyika
Haya ni mateso makubwa sanaNimefanya MRI ya MOI na MNH, zinatoa kelele sana. Imagine navalishwa headphones lakini bado unasikia sauti ya mashine kwa kiwango kikubwa, halafu ni zaidi ya 45 minutes unapigiwa hizo kelele
Mkuu umeadimika sanaHaya ni mateso makubwa sana
Issue hapa ni vipaumbele mkuu.Bilioni ni pesa ndefu kwa mtu mmojammoja
Ila lipohusu Taifa hasa Afya Iyo pesa ni upuuzi tu
Nb: ni hospitali ya Taifa Namaanisha zinakoishia rufaa zote za afya nchini.!
Hii ni laana
Ingetakiwa kila ukanda kuwe na mashine za kisasa za mRI za billion 17Bilioni ni pesa ndefu kwa mtu mmojammoja
Ila lipohusu Taifa hasa Afya Iyo pesa ni upuuzi tu
Nb: ni hospitali ya Taifa Namaanisha zinakoishia rufaa zote za afya nchini.!
Hii ni laana
NipoMkuu umeadimika sana
Sahihi kabisaHaya ni mateso makubwa sana
Unazungumzia afya halafu unatafuta kipaumbele.!Issue hapa ni vipaumbele mkuu.
Kabisa mkuu, vipaumbele ni kununua V8 kwa kila kiongozi mwandamizi. Wewe uende MNH ukachezee MRI zenye kelele decibels 130, uharibu usikivu, uende Mloganzila ukatibu usikivu kwa used/refurbished audiometer.Unazungumzia afya halafu unatafuta kipaumbele.!
Hii ni zaidi ya ajabu
Hapo sawaKabisa mkuu, vipaumbele ni kununua V8 kwa kila kiongozi mwandamizi. Wewe uende MNH ukachezee MRI zenye kelele decibels 130, uharibu usikivu, uende Mloganzila ukatibu usikivu kwa used/refurbished audiometer.
Ukisema wasomi kwa hili la MRI unamaanisha medical personnels, tutakuwa tunawaonea. Wao wanatoa ushauri na mapendekezo ya vifaa tiba gani vinapaswa kununuliwa lakini wahusika wanaoidhinisha hela ndiyo wanaleta masikhara na maisha yetu.Dudu anawapa za uso wasomi, hii ni balaa
Kwani unaishi wapi mkuu, kwamba hujui taifa lako vipaumbele vyake nini?Hapo sawa
Kama tunaweza kuamgamiza maisha Elfulela na ulela siku moja
Halafu tunaokota maisha mamoja kulingishia dolidoli samwela sishangai, upo sahihi
Kwani escrow wahuni walipiga kiasi gani 300+ BIllion srmbuse hiyo 8b. Makonda kapewa 50B sijui za vijana ujinga ujinga tu1.5 au 3 Tesla MRI machine inaweza kufika TZS. 8 billion, uache kazi ufanye kazi. Hizo ndio zina decibels za kawaida kwa mtu kuhimili.
Nisamehe nduguKwani unaishi wapi mkuu, kwamba hujui taifa lako vipaumbele vyake nini?
Tuliposema hizo 5m za magoli ya mama ni cheap popularity watu hawaelewi, taifa lanye changamoto lukuki upo busy kugawa pesa, kununua fancy cars kwa waandamizi, kesho utegemee maendeleo?
Mwisho wa siku mbona na wao wanapelekwaga hapo na yanawakutaPUnda afe ilimradi mzigo ufike nani anajali afya za watanganyika? Kiujumla Muhimbili is corrupted ndio maana kila uchwao wanamjibu dudubaya hoja ambazo hazina mashiko PATHETIC!
Hakuna cha Mtaalam pale ni kanjanja yuleumemsikia mtaalamu vizur?
Naomba kuuliza,hivi ukienda kufanya vipimo vya MRI kama pale HI TECH upanga au besta diagnostic centreKwani unaishi wapi mkuu, kwamba hujui taifa lako vipaumbele vyake nini?
Tuliposema hizo 5m za magoli ya mama ni cheap popularity watu hawaelewi, taifa lanye changamoto lukuki upo busy kugawa pesa, kununua fancy cars kwa waandamizi, kesho utegemee maendeleo?