Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Huko BESTA na HI-TECH wanakwenda wale wanaotupeleka sisi kule kwenye kelele kama machine ya kusaga ya dizeli.Naomba kuuliza,hivi ukienda kufanya vipimo vya MRI kama pale HI TECH upanga au besta diagnostic centre
Mashine zao nazo zinapiga kelele
Ova
Siku zote mimi naamini Wanamuziki wa Hip hop wana akili nyingi kuliko Waimba nyimbo za kubana pua. Hip hop inataka uumize kichwa, na ufikiri deeply. Na mara nyingi nyimbo za hip hop hugusa hali halisi ya jamii tofauti na upuuzi wa Bongo fleva, singeli na ujinga mwingine ambako huko utasikia mapenzi tu mwanzo mwisho.Hii ndio impact ya msanii wa Hip Hop. Unachana mistari mpaka mamlaka zinakaa vikao kujadili. Hii ni press release ya 3 hawajatoa majibu kabisa
Sijawahi kwenda huko HI TECH mkuu, huenda wao wakawa na machine za kisasa zaidi.Naomba kuuliza,hivi ukienda kufanya vipimo vya MRI kama pale HI TECH upanga au besta diagnostic centre
Mashine zao nazo zinapiga kelele
Ova
Mafwele amteke kwanza. Amfikishe mikononi pa abdulUfanyike uchunguzi
Mimi pia nimewaza hivi kwanini na sisi tusipate mashine ya kisasa..Mtaalamu amekiri kwamba zipo MRI ambazo hazitoi sauti kabisa,ni za kisasa zaidi..kwamba kama taifa tumeshindwa kuzinunua hizo mashine za kisasa?
Askofu josephat GWAJIMA aliwai kunukuliwa akisema hiki ambacho unakisema wewe muda huu.Kama Taifa tuweke kipaumbale Afya tokea uhuru ingebidi tuwe na MRI kila hospital ya mkoa (Referral) hizo za mtumba zibaki wilayani
Kilichotokea kongwa unakumbuka,mtu Anatolia hapo mpk dom km 70Kama Taifa tuweke kipaumbale Afya tokea uhuru ingebidi tuwe na MRI kila hospital ya mkoa (Referral) hizo za mtumba zibaki wilayani
Dudubaya kaongea kitu ambacho hamna aliye wahi kukiweka wazi,Mimi pia nimewaza hivi kwanini na sisi tusipate mashine ya kisasa..
Ukiwa na unethical medical practice Ipo ivii sometimes unaweza UKAWA CHOMWA WATER FOR INJECTION bila dawa mtu anakunja pesa kibindonii
Nimemkumbuka headmaster wa A_Level alisema iviii MAILA aki mtaja jamaa form six wa mbele yetu kwamba ndie ALIE ona NZI mkubwa kama kidole alafu MAILA Huyo huyo ameshindwa kujenga hoja kwenye NECTA maana alipata SUFURI..
NB. Serikali nyingi kwenye third world countries hazipendagi kukosolewa hazipendagi kuambiwa ukweriiii sema kwenye hili DUDUBAYA amesaidia MASHINE MPYA KUPATIKANA
Ni kweli DUDUBAYA kasema ukweli hata wakisema wapake rangi vipii SERIKALI kwenye hili DUDUBAYA kawa piga kwenye MSHONODudubaya kaongea kitu ambacho hamna aliye wahi kukiweka wazi,
Janja janja tu hao.Mpaji Mungu Sasa nimeona unoko wako Bwana Dudu.
Africa connection wakipata kelele na malengo yote kimya wanaiba na kuwaandalia connection watoto wao bc ila kama hapo kwenye mfumo kelele nyingi ingia kimya dadek bara la Giza iliMimi hata wanaoipinga serikali naona ni kuwa wapo nnje ya ulaji tu wakipata nafasi hakuna kitu
Kibongo bongo anachokisema Tundu lissu tu ndio nitakiamini wengine njaa tuAfrica connection wakipata kelele na malengo yote kimya wanaiba na kuwaandalia connection watoto wao bc ila kama hapo kwenye mfumo kelele nyingi ingia kimya dadek bara la Giza ili
Wew muulize mtu yeyote ukipata nafasi utafanya nn Cha kwanza atakuambia kuhusu familia yake isiteseke ndo wengine wafwate mkuuKibongo bongo anachokisema Tundu lissu tu ndio nitakiamini wengine njaa tu