macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Wewe kweli ni Mzalendo Uchwara. Yaani hutaki kina Makonda na Abdul watembelee magari ya kifahari? Huna uzalendo kabisa. Uzalendo ni kupenda viongozi wako waishi kwa ufahari na wananchi wateseke.Dr. Mwaisa amesema ukweli, Dudubaya pia amesema ukweli. Mwashine yetu ni ya kizamani inapiga makelele na inatumia muda mrefu kufanya vipimo.
Badala ya kununua "mavi eite" serikali ingekuwa serious kwenye kujali maisha ya mtanzania wangewekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu wa kuvitumia na matengenezo.
Kwani huwezi kujali familia yako na usifanye ufisadi? Hivi mtu kama Bashite anaweza ku-justify magari ya kifahari anayotembelea kwa kusema ni kujali familia?Wew muulize mtu yeyote ukipata nafasi utafanya nn Cha kwanza atakuambia kuhusu familia yake isiteseke ndo wengine wafwate mkuu
SI kheri wao wanapelekwa kule VIP. Makapuku wanatupiwa mwaisela nk.Mwisho wa siku mbona na wao wanapelekwaga hapo na yanawakuta
Ova
iundwe TUME ili ikitoa ripoti Bi Kizimkazi apate nafasi ya kutoa kichamboUfanyike uchunguzi
Kawakulupusha walipojificha hahahaMuhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI
MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana mgonjwa anapokuja kwenye MRI lazima anaambiwa atoe vyuma vyote alivyonavyo anabadilishwa nguo anavishwa nguo maalum ndio anaingizwa sasa kwa sababu ya aina ya utengenezaji wa mashine ndio inakuwa na masharti ya ziada.
Mashine tulizonazo hapa sisi zinatoa kelele kubwa sana ambayo ukimuingiza tu mgonjwa ukamuacha vilevile hofu itamfanya mgonjwa asitulie na kutulia ni kazi ya muhimu sana katika hiki kipimo, Mashine ya MRI ina sauti kubwa kuanzia DESIBELI 100..." amesema Mpoki Ulisubisya -Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
-----
Pia soma: Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India