Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
CHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sanabu yoyote ya kupokea hela za Watuhumiwa ili kupoza mambo, Uhai wa Kitima hauna thamani ya hela ndogo sana kama hiyo mil 20, hii ni kashfa kwa Kanisa.
Hatuna haja ya kusema Mengi kila kitu kinafahamika, na kwa vile serikali haina dini basi kukataa hela hiyo iliyojaa damu ya Kitima haiwezi kuwa Udini.
Ni Matarajio yangu kwamba Dr Mpango atarejeshewa hela yake ifikapo kesho asubuhi, Na wala hili halitakuwa la kwanza , Aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Kilaini alimrejeshea hela yake Rugemalila kwenye kashfa ya ESCROW.
Chadema haihusiki na uzi huuCHADEMA mkiingia Ikulu hakutakuwa na utawala wa kisheria. Mahakama hazitakuwa na kazi. Mtahukumu watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani na kuwapa nafasi ya kujitetea. Ishu ya Kitima inawafanya mhukumu watu bila kuwa na uhakika wowote. Acheni upuuzi. Kama Kanisa katoliki ni idara ndani ya CHADEMA basi hizo pesa zitarudishwa.
Kaka samahani umetukosea sana tunaoishi KATAVI ππKuna panya flani niliwakutaga Katavi huko, ukilala akikuuma anakupuliza. Ndio CCM hao, wanakuzaba kibao afu wanakupoza.
Wewe ni mwanaCCM kwa sasa?Chadema haihusiki na uzi huu
Kwamba wewe unayoandika humu ni ya ccm?Wewe ni mwanaCCM kwa sasa?
Nje ya madaHii ni dalili ya ukichaa kila mtu unamuhisi mbaya hadi daktari wako wa akili
Kwani wewe ni panya??Kaka samahani umetukosea sana tunaoishi KATAVI ππ
ππππKwani wewe ni panya??