Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Kumbe ndio wewe!!!
 
Bila picha zenu or akaunti zenu uko fb or inst hii itakua chai tu..Angalizo tumrudie muumba mkuu kama ulitafuna pambana na hali yako..bora ungeniambia umeibiwa bia ningesapoti
 
Kama kazi huiwezi wape wengine waifanye aisee si unaombwa account yake mbona hutaki kutia kama kweli humtaki mkuu...?

Usipotezee watu muda kukushauri kwa mtu ambaye unampenda aisee.
Mkuu unainekana we ni king ila akiweka hiyo akanti usiwe mtekerezaji maana watanzania wote ni wamoja ..tukiangamizwa wote
 
Mbona kama hii hali inaendekezwa sana siku hizi? Yani habari za kise*** zimekua za kawaida
 
Bila picha zenu or akaunti zenu uko fb or inst hii itakua chai tu..Angalizo tumrudie muumba mkuu kama ulitafuna pambana na hali yako..bora ungeniambia umeibiwa bia ningesapoti
Sijamgonga aisee
 
Unafahamiana na mwanaume mwenzako mtandaoni na kutaka kuwa marafiki bila sababu yoyote,na mnakutana na kunywa chai pamoja na kupiga picha.........alikuwa anategemea nini?
Inawezekana jamaa aliamini huyu mhindi anabiashara wanayowezq kufanya
 
Kudadeki.
Wewe mtafute tu umle hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…