Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Afadhali hiyo mkuu huyo mhindi anakutaja kama mume wake.Angekutaja kama mke wake nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi kwako.Maana hakuna kitu kibaya kama mwanaume rijali kutangazwa kuwa mara kwa mara unapigwa na kitu kizito uwani.

[emoji23][emoji23]
 
Angekuwa Mzungu ungekubali ili mradi siku moja akupeleke Ulaya/Marekani. Wewe ulikuwa huna nia ya kuomba ushauri wowote. Ulitaka tu watu wajue. Kama unabisha, sema hadi sasa umeamua kuchukua hatua gani?
 
Unafahamiana na mwanaume mwenzako mtandaoni na kutaka kuwa marafiki bila sababu yoyote,na mnakutana na kunywa chai pamoja na kupiga picha.........alikuwa anategemea nini?
Kidinyo
 
Bila picha tutaamini Mhindi anakupost kuwa wewe ni Mkewe...sema umekuja kujihami.... Weka picha hapa.
 
Kmmk nimecheka kqma mazuri vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki na mwanaume fesibuku na mkapanga appointment jiangalie kijana
 
Sijui kwanini nimecheka sana. Pole sana, dio ukome kujuana juana na vitu vya ajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…