Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Niliwahi kusoma issue fulani Europe; Mwindi alikuwa ana biashara zake, mke na watoto wawili lakini alikuwa anaendeleza ushoga kwa siri. Machimbo yake yalikuwa ni kwenye website lakini baadhi wakawa wanapiga picha nae baadae wanazitumia kum blackmail awape pesa la sivyo wanazituma hizo picha kwa rafiki zake na familia.

Unaweza kumjua shoga by miles. Sasa wewe mpaka mmekutana na chai mkanywa ukashindwa kujua ni shoga.

Jamaa anakutumia messages kwamba anakupenda lakini kwenye simu hapatikani, Inawezekana umeingizwa kwenye utapeli sasa jamaa anavuta mkwanja la sivyo atatoa picha zote!

Wewe umeshafanywa ngombe wa maziwa!

Mwogopeni Mungu!
 
Kama ulikula jicho pambana tu. Kama sio basi peleka mahakamani
Inawezekana jamaa analiwa pesa. Jamaa kaingia kwenye mtego wa shoga tapeli. Sasa anavuta mkwanja taratibu.

I can bet kuna picha zaidi ya wakinywa chai.

Mwogopeni Mungu!
 
Myebusi una promote ushoga
 
Sasa mzee unaanzaje kukutana na me mwenzio bila sababu ya msingi!
Inashangaza!

Inawezekana jamaa anaendeleza maisha yake ya kisiri siri. Sasa mwindi tapeli kamwinda na Mapicha yamepigwa.

Jamaa mpaka kuja hapa lazima pesa ameshaliwa sana lakini hajui jinsi yaku mstop huyo tapeli!
 
Mambo kama haya yamenikuta mwenzenu juzi tu April hii hii[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3]
 
Kama kazi huiwezi wape wengine waifanye aisee si unaombwa account yake mbona hutaki kutoa kama kweli humtaki mkuu...?

Usipotezee watu muda kukushauri kwa mtu ambaye unampenda aisee.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Mbona wamgeuzia kibao yakhe?
 
Mbona huyo mhindi anasema wewe ndo unatangaza kuwa umepata Basha wa kihundi mpaka umemuharibia sana kwa mke wake .....
 
Afadhali hiyo mkuu huyo mhindi anakutaja kama mume wake.Angekutaja kama mke wake nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi kwako.Maana hakuna kitu kibaya kama mwanaume rijali kutangazwa kuwa mara kwa mara unapigwa na kitu kizito uwani.
Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…