Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

Niliwahi kusoma issue fulani Europe; Mwindi alikuwa ana biashara zake, mke na watoto wawili lakini alikuwa anaendeleza ushoga kwa siri. Machimbo yake yalikuwa ni kwenye website lakini baadhi wakawa wanapiga picha nae baadae wanazitumia kum blackmail awape pesa la sivyo wanazituma hizo picha kwa rafiki zake na familia.

Unaweza kumjua shoga by miles. Sasa wewe mpaka mmekutana na chai mkanywa ukashindwa kujua ni shoga.

Jamaa anakutumia messages kwamba anakupenda lakini kwenye simu hapatikani, Inawezekana umeingizwa kwenye utapeli sasa jamaa anavuta mkwanja la sivyo atatoa picha zote!

Wewe umeshafanywa ngombe wa maziwa!

Mwogopeni Mungu!
 
Kama ulikula jicho pambana tu. Kama sio basi peleka mahakamani
Inawezekana jamaa analiwa pesa. Jamaa kaingia kwenye mtego wa shoga tapeli. Sasa anavuta mkwanja taratibu.

I can bet kuna picha zaidi ya wakinywa chai.

Mwogopeni Mungu!
 
Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu.

Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya.

Tulipiga picha mbili za pamoja, tukanywa chai pale K T Shop na kuagana. Kila mtu akaendelea na mambo yake.

Jioni ilipofika akanitumia sms kwamba amenipenda sana na anataka niwe bwana wake, nikakataa. Nikamwambia mambo ya ushoga kwangu ni big no.

Ni miezi miwili sasa imepita lakini kila mara amekuwa akituma picha tulizopiga wote na kuandika maneno kwamba I miss you very much mu sweet husband.

Hii inanikera sana na mbaya zaidi simpati kwenye simu. Ndugu na marafiki zangu wameziona hizo picha mtandaoni, yaani wananiona tayari nimekuwa mfi**ji.

Je nifanyeje kumdhibiti baradhuli ms**ge huyu?
Myebusi una promote ushoga
 
Sasa mzee unaanzaje kukutana na me mwenzio bila sababu ya msingi!
Inashangaza!

Inawezekana jamaa anaendeleza maisha yake ya kisiri siri. Sasa mwindi tapeli kamwinda na Mapicha yamepigwa.

Jamaa mpaka kuja hapa lazima pesa ameshaliwa sana lakini hajui jinsi yaku mstop huyo tapeli!
 
Mambo kama haya yamenikuta mwenzenu juzi tu April hii hii[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3]
Screenshot_20220406-215805.jpg
 
Kama kazi huiwezi wape wengine waifanye aisee si unaombwa account yake mbona hutaki kutoa kama kweli humtaki mkuu...?

Usipotezee watu muda kukushauri kwa mtu ambaye unampenda aisee.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Mbona wamgeuzia kibao yakhe?
 
Mbona huyo mhindi anasema wewe ndo unatangaza kuwa umepata Basha wa kihundi mpaka umemuharibia sana kwa mke wake .....
 
Afadhali hiyo mkuu huyo mhindi anakutaja kama mume wake.Angekutaja kama mke wake nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi kwako.Maana hakuna kitu kibaya kama mwanaume rijali kutangazwa kuwa mara kwa mara unapigwa na kitu kizito uwani.
Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom