Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa Viti Maalumu vya Wanawake.

Ndiyo kusema zaidi ya wanaCCM 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Maendeleo yana vyama!

Msiponiletea mbunge wa ccm sahauni maendeleo
Hata hili daraja naweza kuja kuvunja nikauze screpa 😊
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za serikali..
Mmmh kuna watu wa namna hiyo kweli

Kwa hiyo wanaishi kwa kutegemea siasa au?
Ahaaa sasa nchi itaendelea vipi kama wote wanataka kuongoza
 
Hakuna namna, wapambane na hali zao uchaguzi umepita. Wakajipange upya.
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za serikali...
Sema wajipendekeze ili wale keki ya ushindi katika kufanikisha ushindi wa kishindo wa kisayansi.
 
Back
Top Bottom