Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

Kuna mmoja ni mshikaji wangu kwa wajumbe alipata kura 00 kwa Sasa kila siku kwenye status yake lazima aweke habari za ccm na jiwe.
Rafiki yangu mmoja kaanza kukosoa viongozi wa chama chake kwenye status.
Huwa nacomment kwa emoj tu.
[emoji2]
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaccm 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa viti maalumu vya wanawake.

Ndio kusema zaidi ya wanaccm 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Tuwaundia jeshi geerngurd la kudhuru kuharibu Mali za wapinzani wengine tumlazimisja diwani awachomeke tiss
 
Back
Top Bottom