Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

Kwahiyo wewe mwenyewe na vibaraka wenzio mliojaa humu kina Kawe Alumni , aaaah kapotea siku hizi , ma vipeuo menzio ya kijani kibichi mnapoteza nguvu zenu bure humu , nyie mnahdngdika kujibu humu kutwa kuchwa wanakuja kulamba teuzi kina Hussein Mwinyi , bado Ridhiwani .
Hata hapo Ufipa teuzi wanapata akina Nkya!
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaccm 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa viti maalumu vya wanawake.

Ndio kusema zaidi ya wanaccm 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaààaàaaaaaàaaaaaaaaaàaaàaaaaàaaaààaaaaàaaaaaaàaaaaàaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaccm 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa viti maalumu vya wanawake.

Ndio kusema zaidi ya wanaccm 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kweli Wakoloni wafanye mpango wa kurudi Africa. Hatuwezi kujiongoza, hatuwezi kujitawala, hatuwezi kuchaguana, tunauana, tunatafuna mali za umma na misaada, hatuwezi lolote. Hatuwezi.
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaccm 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa viti maalumu vya wanawake.

Ndio kusema zaidi ya wanaccm 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Hata zile elfu saba saba nazo ziko kwenye hatua ya mwisho kabisa kupotea baada ya mabeberu kutishia vikwazo, na huko kwenye ujasiriamali watakumbana na VITAMBULISHO PENDWA VYA WAMACHINGA. Tulisema safari hii tutalia sote.
 
Ruzuku ya CCM ni tsh bilioni moja na ushee!
 
Kilicho nisukuma kusoma huu Uzi nilikuwa na mgombea Fulani wa huko morogoro aligombea ubungeakashndwa akakimbilia udiwan akashndwa sasa alikuwa anaperuz Jf baadae akafyonza nilipochungulia mada nikakuta huu Uzi nasdhan alikuwa na mategemeo makubwa sana juu ya teuz hizi
 
Aliwaambia wawaunge mkoni walioshinda kwani nafasi zipo nyingi za uteuzi!
 
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.

Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.

Zaidi ya wanaccm 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika majimbo mbalimbali nchini na waliofaulu ni takribani wagombea 260 na wengine 94 wameingia kwa viti maalumu vya wanawake.

Ndio kusema zaidi ya wanaccm 9500 wako kwenye foleni wakisubiri teuzi.

Vijana ingieni kwenye ujasiriamali mkachape kazi.

Maendeleo hayana vyama!
Na wewe babu yao unasubiri nini kuchapa kazi kutwa upo JF?
 
Kilicho nisukuma kusoma huu Uzi nilikuwa na mgombea Fulani wa huko morogoro aligombea ubungeakashndwa akakimbilia udiwan akashndwa sasa alikuwa anaperuz Jf baadae akafyonza nilipochungulia mada nikakuta huu Uzi nasdhan alikuwa na mategemeo makubwa sana juu ya teuz hizi
UVCCM wengi ni wavivu sn
 
Back
Top Bottom