johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huwezi kuteua watu zaidi ya 9000!!!!Kwa lugha nyingine imekula kwao!
Bwashee mimi ni mstaafu.Bwashee vipi na wewe unasubiri uDC?
Poa bwashee, hiyo pension tule wote bashweee.Bwashee mimi ni mstaafu.
Nawashauri vijana!
Vijana hapo Ufipa chapeni kazi!Maendeleo yana vyama!
Msiponiletea mbunge wa ccm sahauni maendeleo
Hata hili daraja naweza kuja kuvunja nikauze screpa 😊
Umeelewa comment yangu? Elewa ufipa sipajui zaidi ya kusikia ufipa ufipa ilihali sipajuiVijana hapo Ufipa chapeni kazi!
Bwashee kwenye ujasiliamali EFD zina fanya kazi yake huko hahaaahaaBwashee mimi ni mstaafu.
Nawashauri vijana!
Unawaambia kama nani? Mchawi wewe, watu tunasubiri ulaji wewe unaleta kinaa! Ushindwe na ulegeeNawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za serikali....
Salamu hizi ziwafikie hadi hapo Ufipa...... Chapeni kazi!Unawaambia kama nani? Mchawi wewe, watu tunasubiri ulaji wewe unaleta kinaa! Ushindwe na ulegee
Mmmh kuna watu wa namna hiyo kweliNawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za serikali..
Sema wajipendekeze ili wale keki ya ushindi katika kufanikisha ushindi wa kishindo wa kisayansi.Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za serikali...