Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

Nafikiri kutokana na kukua kwa vjijni na kata, Serikali ikubali kuanzisha vijijji, Nashauri Serikali ianzishe vijiji vipya 10,000 vitakavyotengeneza ajira za VEO 10,000, Maafisa maendeleo 10,000, mabwana/bi afya 10,000, na wapambe wao kama mabaunsa flan HV. Roughly ajira 50,000. Hawa Walimu na wengine waajiriwe kivyao. Hakika tutafika mbali
 
Aidha salary kwao Si lazima. Yaani watakukamua hela za mihuli tu watajilipa na malupulupu. Hahahaaaaa. Usiombee Benki waseme fomu hii ukajaze kwa VEO, hatareeeee
 
Mitano 5 kazi iendelee.
 
Kwahiyo wewe mwenyewe na vibaraka wenzio mliojaa humu kina Kawe Alumni , aaaah kapotea siku hizi , ma vipeuo menzio ya kijani kibichi mnapoteza nguvu zenu bure humu , nyie mnahangaika kujibu humu kutwa kuchwa wanakuja kulamba teuzi kina Hussein Mwinyi , bado Ridhiwani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…