Hii kitu imekwisha. JJ Mnyika ambaye ni mtendaji mkuu alishaweka msimamo wa CHADEMA, wewe nani tena unatafuta mwanya wa kuingia kwenye uchaguzi ?1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.
2. Nani hupaswa kusaini?
Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.
Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.
3. Wakati wa Kusaini ni Upi?
Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.
Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.
4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria
Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.
Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.
5. Madhara ya Kutosaini
Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.
Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.
Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.
Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.
6. Hitimisho
Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.
Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.
Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,
View attachment 3302325
Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.CHADEMA walishayafahqmu yote haya kabla ya kususia kusaini😀
Kiu ya CHADEMA sio kupata viti vya ubunge bali ni kupigania ipatikane tume huru ya uchaguziKupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.
Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.
Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.
Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.
Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.
Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.
Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Viti 70? Hivi unaijua kasheshe ya kumtangaza mpinzani kushinda wewe?Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.
Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.
Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.
Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.
Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.
Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.
Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Umelisoma lote hilo andiko lakini? Au umechangia kwa kusoma heading tuu?Hii kitu imekwisha. JJ Mnyika ambaye ni mtendaji mkuu alishaweka msimamo wa CHADEMA, wewe nani tena unatafuta mwanya wa kuingia kwenye uchaguzi ?View attachment 3302336
Uchaguzi wa mitaa ndio uliofanya tusituke kumbe CCM hawataki uchaguzi! Maana uchaguzi ule wagombea hawana mshahara tumepigwa vile je huu wa wabunge wenye mshahara vilema na wajane si watakuwa wengi ndio tukasema no reform no election! Eti upewe wabunge badala uchagueKupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.
Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.
Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.
Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.
Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.
Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.
Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Umelisoma lote hilo andiko lakini? Au umechangia kwa kusoma heading tuu?
CCM siku izi imejipachika cheo cha kuishauri Chadema namna ya kushinda chaguzi.Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.
Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.
Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.
Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.
Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.
Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.
Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Ile iliyosemekana hadi 2030 CDM ndio ataweza kushiriki chaguzi,Kailima kaitoa wapi?CHADEMA walishayafahamu yote haya kabla ya kususia kusaini😀
NR NE baasi, hatutaki habari ya tafsiri za kisheria. Acha mzanzibar ajichukulie Tanganyika kiulaini.CHADEMA walishayafahamu yote haya kabla ya kususia kusaini😀
upotoshaji ndicho hasa kilichopelekea wengine kusota korokoroni mpaka sasa na vyama vyao kutumbukia shimoni kwenye kaburi la sahau uchaguzi hadi2030🐒1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.
2. Nani hupaswa kusaini?
Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.
Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.
3. Wakati wa Kusaini ni Upi?
Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.
Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.
4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria
Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.
Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.
5. Madhara ya Kutosaini
Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.
Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.
Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.
Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.
6. Hitimisho
Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.
Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.
Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,
View attachment 3302325
Kaitoa kwenye NR NE. Kwani chadema mna mpango wa kushiriki uchaguzi mwaka huu?Ile iliyosemekana hadi 2030 CDM ndio ataweza kushiriki chaguzi,Kailima kaitoa wapi?
Chadema wapo sahihi .Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.
Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.
Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.
Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.
Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.
Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.
Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Unazeeka vibaya KinanaKaitoa kwenye NR NE. Kwani chadema mna mpango wa kushiriki uchaguzi mwaka huu?
upotoshaji ndicho hasa kilichopelekea wengine kusota korokoroni mpaka sasa na vyama vyao kutumbukia shimoni kwenye kaburi la sahau uchaguzi hadi2030�
potoshaneni kama vile pwagu na pwaguzi 🤣Sisiemu kuna vilaza Sana
Siwasemei nyie chadema, bali kila mtu anamtazamo wake kwenye uamuzi wa chadema wa NR NE.Kiu ya CHADEMA sio kupata viti vya ubunge bali ni kupigania ipatikane tume huru ya uchaguzi
Yupo pale tume kishabiki wala hajui sheriaIle iliyosemekana hadi 2030 CDM ndio ataweza kushiriki chaguzi,Kailima kaitoa wapi?