Uhai ni bora kuliko ruzukuSiwasemei nyie chadema, bali kila mtu anamtazamo wake kwenye uamuzi wa chadema wa NR NE.
Mimi naona chadema imepoteza, na kumwachia Samia kirahisi hivi ni utoto.
Namuunga mkono John mrema na G55.

Upe muda wakati.. Tuna hakika na tunachokifanyaSiwasemei nyie chadema, bali kila mtu anamtazamo wake kwenye uamuzi wa chadema wa NR NE.
Mimi naona chadema imepoteza, na kumwachia Samia kirahisi hivi ni utoto.
Namuunga mkono John mrema na G55.
kujipa matumaini kwamba marehemu chadema ambae tayari yuko kaburini ati atafufuka ni kitu mbaya sana, na ofcoz hiyo ni ushirikina gentleman 🐒Unateseka kwa hofu kubwa ukiwa wapi mdau
Lowasa alikua na Wakurugenzi wengi waliokua wanamuunga mkono .Watanzania ni wavivu wa kusoma na kufanya utafiti pia .
Malofa na wapumbavu Watakuambia mbona 2015 Chandema walipata viti vingi ?
Mizuti na Wapumbavu wanasahau kuwa Lowasa alikua waziri mkuu na Wakati ule Wakurugenzi walikua chini ya ofisi ya Waziri mkuu.
Lowasa alikua na Wakurugenzi wengi waliokua wanamuunga mkono .
Ni wazi kama Lowasa angekua na ujasiri wa Tundu Lisu angeingia ikulu asubuhi na mapema . Bahati Mbaya sana watanzania ni wasahaulifu .
Lowasa alikua anapokelewa uwanja wa ndege na RPC na kusindikizwa mpaka kwenye uwanja anayofanyia mkutano .
kujipa matumaini kwamba marehemu chadema ambae tayari yuko kaburini ati atafufuka ni kitu mbaya sana, na ofcoz hiyo ni ushirikina gentleman 🐒
Ila marehemu anajadiliwa saana kuliko waliohaikujipa matumaini kwamba marehemu chadema ambae tayari yuko kaburini ati atafufuka ni kitu mbaya sana, na ofcoz hiyo ni ushirikina gentleman 🐒
BAGONZA:KUIBA KURA NI UHAINI MAANA UNAPINDUA MADARAKA YA WANANCHI.NR NE baasi, hatutaki habari ya tafsiri za kisheria. Acha mzanzibar ajichukulie Tanganyika kiulaini.
ndio maana na asili ya maombolezo gentleman,Ila marehemu anajadiliwa saana kuliko waliohai
Swali maadili ni nini ............ .......1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.
2. Nani hupaswa kusaini?
Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.
Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.
3. Wakati wa Kusaini ni Upi?
Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.
Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.
4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria
Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.
Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.
5. Madhara ya Kutosaini
Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.
Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.
Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.
Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.
6. Hitimisho
Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.
Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.
Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,
View attachment 3302325
CCM huiba kura, rejea mkuu wa wilaya aliyekili CCM huwa wanaenda mapolini wakati wa uchaguzi, na baada ya kuyasema hayo akatenguliwa wizi mwingine wa kura tuliuona waziwazi, 2019BAGONZA:KUIBA KURA NI UHAINI MAANA UNAPINDUA MADARAKA YA WANANCHI.
“Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. ”-Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya KaragweView attachment 3302405
Nchi imeingizwa kwenye mtego na mgogoro na msajili kwakujua ama kutokujua...CDM watazuia uchaguzi kirahisi zaidi sasa kuliko kabla...CDM Wana haki ya kwenda mahakamani kuzuia uchaguzi kwakua ni haki Yao kikatiba kushiriki uchaguzi na hakutakuwa na uchaguzi mpaka huo utata wa tume utakapopatiwa ufumbuzi na hiyo ita set precedence ya kutokuwa na Imani ya hicho chombo.. whoever advised Tume na wao kukubali wamemeza ndoana kirahisi sana......Thinking loud!Umelisoma lote hilo andiko lakini? Au umechangia kwa kusoma heading tuu?
Wenye akili karibu wote wapo CCM ila mafisadi wamewashika akili Yao na hawajui wanachomokaje kwenye hiyo mikono miovu maana mbele Yao wanahitaji livelihoods na nyuma yupo ambaye ameshikilia huo ugali akiwagawia kimkakati🥲Huko Sisiem hakuna mwenye akili.
CCM wana uelewa mdogo kuhusu yasiyotarajiwa, (uncertainty)Nchi imeingizwa kwenye mtego na ngogoro na msajili kwakujua ama kutokujua...CDM watazuia uchaguzi kirahisi zaidi sasa kuliko kabla...CDM Wana haki ya kwenda mahakamani kuzuia uchaguzi kwakua ni haki Yao kikatiba kushiriki uchaguzi na hakutakuwa na uchaguzi mpaka huo utata wa tume utakapopatiwa ufumbuzi na hiyo ita set precedence ya kutokuwa na Imani ya hicho chombo.. whoever advised Tume na wao kukubali wamemeza ndoana kirahisi sana......Thinking loud!
Akili kubwa hizi, hii tume imeleta jambo hili mapema Kwa maelekezo ya CCM wakijua CDM inatishia wangalie upepo1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.
2. Nani hupaswa kusaini?
Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.
Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.
3. Wakati wa Kusaini ni Upi?
Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.
Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.
4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria
Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.
Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.
5. Madhara ya Kutosaini
Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.
Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.
Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.
Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.
6. Hitimisho
Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.
Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.
Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,
View attachment 3302325
Kwani anayetangaza matokeo ni CCM au tume Huru? Acha kuchanaganya watu!!Uchaguzi wa mitaa ndio uliofanya tusituke kumbe CCM hawataki uchaguzi! Maana uchaguzi ule wagombea hawana mshahara tumepigwa vile je huu wa wabunge wenye mshahara vilema na wajane si watakuwa wengi ndio tukasema no reform no election! Eti upewe wabunge badala uchague