PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akili kubwa hizi, hii tume imeleta jambo hili mapema Kwa maelekezo ya CCM wakijua CDM inatakiwa sasa
Hapo hamna cha akili kubwa wametumia akili ndogo sana CCM huwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri

Yasiyotarajiwa, (uncertainty), husababisha na:
1. Taarifa,(information),
2. Majanga, (disaster),
3. Binadamu, (people)

1. Kuhusu taarifa uwezo mdogo wa kutasfsiri taarifa unaweza kusabishia changamoto
2. Kuhusu majanga yatokanayo na majanga huwezi kuchomoka bali unakabikiana nayo, yapo majanga ya Kimungu na kibinadamu
3. Binadamu anaweza kujisababishia changamoto kwasababu ya ujinga, upumbavu, ushamba, wivu, ulevi, uzembe, uroho wa madaraka, hata ungonjwa, binadamu huyo huyo anaweza kuwasabishia wengine changamoto kwa bahati mbaya ama kwa makusudi

Hitimisho changamoto nyingi tunazo kabilianazo husababishwa na binadamu,

Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo kuchakata fikra chanya ili kupata suluhisho anapofanya hivyo hukutana na ubunifu
Binadamu ana akili sana, lakini pia ni mvivu wa kufikiri, uwezo wa kufikiri huongezeka sana akipata changamoto
 
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria

Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.

Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.

2. Nani hupaswa kusaini?

Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.

Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.

3. Wakati wa Kusaini ni Upi?

Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.

Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.

4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria

Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.

Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.

5. Madhara ya Kutosaini

Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.

Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.

Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.

Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.

6. Hitimisho

Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.

Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.

Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.

Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,

View attachment 3302325

Tume Huru🤣🤣 Hi serekali ya Kibabe kinoma....
Inamaana Hata kama Hawajahusika kuhusu utekaji na mauaji Basi kwanini Miaka Yote tangu Lissu apigwe Rasasi mpaka leo Hi serekali ya CCM hawaja weza kumwajibisha YEYOTE TOKA MIAKA YOTE BASI WASEME WAMEKAMATA MUHALIFU MMOJA.....Basi kama wameshindwa Wanafanya nini huko Serekalini Na Wananchi wanaona Cheo Tuu Hao wote wanapiga saini na kuenda kupiga Kura NI ZERO 0 KICHWANI KWAO HAKUNA HATA KITONE CHA AKILI......NAEKA HATI YA NYUMBA REHANI CCM ASIPOPITA NYUMBA YANGU IUZWE
 
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria

Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.

Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.

2. Nani hupaswa kusaini?

Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.

Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.

3. Wakati wa Kusaini ni Upi?

Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.

Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.

4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria

Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.

Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.

5. Madhara ya Kutosaini

Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.

Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.

Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.

Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.

6. Hitimisho

Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.

Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.

Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.

Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,

View attachment 3302325
HU MWEZI WA 4 NAEKA HATI YA NYUMBA YANGU REHANI ASIPOPITA SAMIA KUWA RAISI WAINUNUE HII NYUMBA
MPAKA WANANCHI WAJIONE SISI NIMAJINGA SIO LEO SIO LEO NANI ANAPENDA KUJIONA MJINGA...HATUEZI CHOCHOTE SISI TUKO TUUU LISSU ASHAPEWA KESI SISI TUKO TU....HAHAHA🤣🤣
 
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria

Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.

Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.

2. Nani hupaswa kusaini?

Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.

Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.

3. Wakati wa Kusaini ni Upi?

Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.

Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.

4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria

Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.

Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.

5. Madhara ya Kutosaini

Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.

Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.

Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.

Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.

6. Hitimisho

Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.

Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.

Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.

Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,

View attachment 3302325
Mhe Mshana Jr kumbe umeiokota huku, hii ni shida

6029565-f504909fccb7235c51381f23508443f9.jpg
 
Kiu ya CHADEMA sio kupata viti vya ubunge bali ni kupigania ipatikane tume huru ya uchaguzi
Tume huru haitokei mtaani, ni lazima ipitie bungeni. Mfano mzuri ni hii tume inayojiita huru (Kwa sheria ya 2024), imepitishwa bungeni.

Kwa maana hiyo, kama uchaguzi wa 2020 ungeruhusu wabunge wa Chadema kuingia kwa wingi, basi huenda wangetoa mchango chanya wakati wa uundaji wa hii tume mpya.
 
CCM siku izi imejipachika cheo cha kuishauri Chadema namna ya kushinda chaguzi.

CHADEMA imeshtukia mchezo wa ukiitwa kwenye fursa wewe ndio fursa yenyewe.

Kuna kampuni ya pesa ilikua inaitwa DECI .🤣🤣🤣
Walikua matapeli wenye ushawishi mkubwa sana na lugha ya kuhadaa watu wapande mbegu .
Mwisho wa siku watu walipigwa kipigo cha mbwa koko .

CCM ni kama chatu anapotaka kummeza Mbwa anavyojirembua kwa kubadilisha rangi ili kumpumbaza🤣🤣🤣
 
Halafu mbwa nae anajisogezasogeza huku akitikisa mkia, mara paap anamezwa na kutiwa gerezani.
 
Watanzania ni wavivu wa kusoma na kufanya utafiti pia .

Malofa na wapumbavu Watakuambia mbona 2015 Chandema walipata viti vingi ?

Mizuti na Wapumbavu wanasahau kuwa Lowasa alikua waziri mkuu na Wakati ule Wakurugenzi walikua chini ya ofisi ya Waziri mkuu.

Lowasa alikua na Wakurugenzi wengi waliokua wanamuunga mkono .
Ni wazi kama Lowasa angekua na ujasiri wa Tundu Lisu angeingia ikulu asubuhi na mapema . Bahati Mbaya sana watanzania ni wasahaulifu .

Lowasa alikua anapokelewa uwanja wa ndege na RPC na kusindikizwa mpaka kwenye uwanja anayofanyia mkutano .
Hizi ni habari za kuokoteza kwenye vijiwe vya kahawa.
 
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria

Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.

Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.

2. Nani hupaswa kusaini?

Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.

Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.

3. Wakati wa Kusaini ni Upi?

Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.

Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.

4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria

Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.

Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.

5. Madhara ya Kutosaini

Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.

Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.

Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.

Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.

6. Hitimisho

Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.

Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.

Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.

Imeandikwa na Mhe. Edson Kilatu, esq.,

View attachment 3302325
Hizo ni porojo tu, Tume ndio hutoa mwongozo
 
MUHTASARI WA HOJA: MADHARA YA KUTOSAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI

Na. Adv. Kilatu

1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria

* Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.

* Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na vyama vya siasa na Serikali, kisha huzichapisha kwenye Gazeti la Serikali.

2. Nani hupaswa kusaini?

* Sheria inahitaji kila chama cha siasa, kila mgombea, Serikali na Tume kusaini.

* Mgombea anapaswa kusaini kabla ya kuwasilisha fomu ya uteuzi.

3. Wakati wa Kusaini ni Upi?

* Sheria haijaweka muda mahsusi kwa vyama au Serikali kusaini.

* Kwa mantiki hiyo, chama kinaweza kusaini wakati wowote kabla ya kuanza kampeni.

4. Tafsiri ya “Kusaini” Kisheria

* Neno “ kusaini ” halijapewa tafsiri finyu; linaweza kumaanisha pia kuridhia au kukubaliana kwa namna yoyote rasmi.

* Mgombea anaridhia kanuni zilizopo, hata kama hajasaini moja kwa moja.

5. Madhara ya Kutosaini

* Sheria haijaeleza adhabu au athari ya moja kwa moja kwa chama au mgombea asiyesaini.

* Haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba na haiwezi kuondolewa kwa kutokuwepo saini ya kanuni.

* Kifungu 162(2) kinaelekeza waliotia saini kuzingatia kanuni, lakini hakielezi kuhusu wasiosaini.

* Hii inaacha mwanya wa kisheria (lacuna) unaoweza kutumiwa na baadhi ya wadau.

6. Hitimisho

* Sheria hii ina utata na inaweza kuleta sintofahamu katika utekelezaji.

* Kukataa au kushindwa kusaini hakumaanishi kufutwa kwa haki ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi.

* Haki inaweza kuondolewa tu kwa msingi ulioelezwa wazi na Sheria au Katiba, si kwa tafsiri au hisia.
 
Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.

Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.

Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.

Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.

Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.

Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.

Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Kilichowafanya wasipate wabunge 70 ktk uchaguzi (wengine wanasema uchafuzi) wa 2020 ni nini? Uzoefu wa 2024 unakufunza nini?
 
Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.

Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.

Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.

Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.

Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.

Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.

Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
Hahahaha!
 
Wewe na CCM ndio mnao wagawia wengine viti vya ubunge. Sasa uchaguzi una maana gani?
Hiyo unayo iita 'process' inatolewa na nani, CCM?
CCM ndio wagawa HAKI kwa wengine?
Mbona mnajiona kama miungu nyinyi watu, huu umungu mmeutoa wapi?

Hivyo viti 70 chukueni wenyewe, kinacho tafutwa ni hicho kiti cha juu zaidi, ili umungu wenu ukome.
 
Kupata haki is a process siyo QED. Mimi naamini kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi wa Oktoba 2025 wangepata hata viti 70 vya ubunge.

Hii ingekuwa mtaji kwa 2030, pengine wangevipandisha hadi 100-120 you never know.

Ukijijenga kwenye ubunge unakuwa na nguvu ya kupambana dhidi ya miswaada mibovu na sheria mbovu. Hata kuleta Katiba mpya kwaweza kuanzia bungeni kuliko hii inayotafutwa kwa kutumia public sympathy.

Chama hakina Wazee wa kutoa ushauri. Tundu mwenye miaka 57 sasa ndiyo Mzee wa chama, hana mtu juu wa kumshauri.

Hao G55 kuna watu wazuri sana, lakini ame wa-ignore kabisa na kuanza kuwafukuza kwenye teuzi.

Heche naye ni mtu mwenye munkari. Lema yeye ni mtu wa FURSA, na anapita palipo na shillingi.

Unapata wapi watu wa kuishauri CHADEMA vizuri
"Watu wa kuishauri CHADEMA vizuri" kama wewe ulivyo shauri hapa? Huu ushauri unawafaa akina Lipumba na wenzao na hata hao wabunge 70 huwasikia tu kwenye stori kama hizi ulizotoa wewe na wenzako.

CHADEMA wanatafuta "public sympathy"? Hivi hata huelewi kinachotokea sasa?
 
Kiu ya CHADEMA sio kupata viti vya ubunge bali ni kupigania ipatikane tume huru ya uchaguzi
Ili ipatikane HAKI kwa kila mmoja. Kwa CCM, CHADEMA, CHAUMA na kwa mwananchi mpiga kura, ili kumchagua kiongozi anay mtaka yeye na wala siyo anaye teuliwa na CCM.
 
Back
Top Bottom