PreGE2025 Muhtasari wa Hoja: Madhara ya kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
upotoshaji ndicho hasa kilichopelekea wengine kusota korokoroni mpaka sasa na vyama vyao kutumbukia shimoni kwenye kaburi la sahau uchaguzi hadi2030🐒
Unateseka kwa hofu kubwa ukiwa wapi mdau
 
Unateseka kwa hofu kubwa ukiwa wapi mdau
kujipa matumaini kwamba marehemu chadema ambae tayari yuko kaburini ati atafufuka ni kitu mbaya sana, na ofcoz hiyo ni ushirikina gentleman 🐒
 
Lowasa alikua na Wakurugenzi wengi waliokua wanamuunga mkono .
Ni wazi kama Lowasa angekua na ujasiri wa Tundu Lisu angeingia ikulu asubuhi na mapema . Bahati Mbaya sana watanzania ni wasahaulifu .

Lowasa alikua anapokelewa uwanja wa ndege na RPC na kusindikizwa mpaka kwenye uwanja anayofanyia mkutano 📌🔨.
 
kujipa matumaini kwamba marehemu chadema ambae tayari yuko kaburini ati atafufuka ni kitu mbaya sana, na ofcoz hiyo ni ushirikina gentleman 🐒
Hahahaha😂😂😂😂
 
NR NE baasi, hatutaki habari ya tafsiri za kisheria. Acha mzanzibar ajichukulie Tanganyika kiulaini.
BAGONZA:KUIBA KURA NI UHAINI MAANA UNAPINDUA MADARAKA YA WANANCHI.

“Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. ”-Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe
 
Ila marehemu anajadiliwa saana kuliko waliohai
ndio maana na asili ya maombolezo gentleman,
wengine wanasema marehemu alikua na mdomo sana, wengine wanasema alikua mchoyo, mbinafsi na mropokaji, wengine wanasema alikua ombaomba kuchangiwa pesa n.k🐒
 
Swali maadili ni nini ............ .......
Je tume ya uchaguzi kuanzia lini imekuwa na maadili
 
CCM huiba kura, rejea mkuu wa wilaya aliyekili CCM huwa wanaenda mapolini wakati wa uchaguzi, na baada ya kuyasema hayo akatenguliwa wizi mwingine wa kura tuliuona waziwazi, 2019
 
Umelisoma lote hilo andiko lakini? Au umechangia kwa kusoma heading tuu?
Nchi imeingizwa kwenye mtego na mgogoro na msajili kwakujua ama kutokujua...CDM watazuia uchaguzi kirahisi zaidi sasa kuliko kabla...CDM Wana haki ya kwenda mahakamani kuzuia uchaguzi kwakua ni haki Yao kikatiba kushiriki uchaguzi na hakutakuwa na uchaguzi mpaka huo utata wa tume utakapopatiwa ufumbuzi na hiyo ita set precedence ya kutokuwa na Imani ya hicho chombo.. whoever advised Tume na wao kukubali wamemeza ndoana kirahisi sana......Thinking loud!
 
Huko Sisiem hakuna mwenye akili.
Wenye akili karibu wote wapo CCM ila mafisadi wamewashika akili Yao na hawajui wanachomokaje kwenye hiyo mikono miovu maana mbele Yao wanahitaji livelihoods na nyuma yupo ambaye ameshikilia huo ugali akiwagawia kimkakati🥲
 
CCM wana uelewa mdogo kuhusu yasiyotarajiwa, (uncertainty)
 
Akili kubwa hizi, hii tume imeleta jambo hili mapema Kwa maelekezo ya CCM wakijua CDM inatishia wangalie upepo
 
Kwani anayetangaza matokeo ni CCM au tume Huru? Acha kuchanaganya watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…