Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

Wanaonesha hawako makini. Wakija kukagua nyumba yako ambayo ni bond, watafanya kila kitu kuchunguza, labda waangalie aina ya tofali, watachimba sehemu A, B na C. Walishindwa vipi kujiridhisha randomly? Au kulikuwa na 10% ya mtoa mkopo uwe wa chapchap. By the way kwa faida wanazopata, huto tumilioni wanatoibiwa ni pesa ndogo sana.
 
Hiyo hela yote ina maana hakuweka dhamana kitu kisichohamishika? Mimi kwa uelewa wangu uwepo wa biashara ni justification kwamba unafanya biashara hivyo una qualify kupata mkopo wa biashara. Maofisa wa bank walitakiwa kuangalia umiliki na cash flow ya hiyo biashara na sio vinginevyo. Otherwise wamepigwa kishamba sana.
 
Loan officer aliahidiwa 15% percent
Akajichanganya
🤣🤣🤣
 
Sio rahisi kukimbia maana kwa vyovyote kuna dhamana atakuwa kaziweka.. Ila kama alikula dili na afisa mikopo wake, huyo afisa amekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…