Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

Mkuu kwa hiyo biashara ikifilisika recovery yake inakuwaje
Kuna mda wa biashara wanaangalia, bank statement ya mda flani, na financial statement kuanzia miaka mitatu kuanza tengeza picha kama una uwezo.. Kukopeshe biashara mbona ipo sana mkuu.. bank ni wafanya biashara wanalewa namna ya ku calculate risk zao.. hivi karibuni kuna mahala nilipata fura ya kukopea biashara naongea nacho kijua
 
Unapewa mkopo kama ni mteja mzuri na una mzunguko katika account yako
Sasa wao wanatoa mkopo kwa kuangalia magunia
Basi wajinga sana bank za huko
 
Ok, ngoja nifuatilie
 
Imenikumbusha stori ya mwanetu mmoja anasakwa mpaka leo hajapatikana alikimbia na hela za watu (voda) kwa taarifa niliyoambiwaga alikuwa anafanya kazi kwa hizi ofisi za wakala wakuu. Akatokomea na pesa ya watu, shilingi ngapi sijui. Ila hakuna anayejua yupo wapi. Too bad kamponza ndugu yake aliemuunganishia hiyo kazi amesimamishwa!!
 
Unapewa mkopo kama ni mteja mzuri na una mzunguko katika account yako
Sasa wao wanatoa mkopo kwa kuangalia magunia
Basi wajinga sana bank za huko
Jamaa kashirikiana na bank
Kuna watu hapo bank wanajua vizuri
Itakuwa

Ova
 
Mimi nilivyoelewa ni kwamba huyo mkopaji ndio yupo kwenye process za kutembelewa ili apewe mkopo.
 
Jamaa kashirikiana na bank
Kuna watu hapo bank wanajua vizuri
Itakuwa

Ova
Hilo niliwaza kwa kweli
Kwa sababu wafanyakazi hawana ethics

Wanatafuta mteja ili wapate % zao
Yaani hakuna mahali salama huko
Wengi ni makanjanja tu, na waroho wasioridhika na mishahara yao

Halafu majirani wakipewa kazi tunalalamika wakati wanaiba kifala hivyo

Hapo wakamatwe walioidhinisha huo mkopo wabanwe kende watasema tu
 
Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
View attachment 2522488
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ....kama bank wanatapeliwa je raia?
 
Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
View attachment 2522488
Ana pepo la umaskini

Milioni 50 nayo pesa ya kutokomea gizani na kuishi kama mnyama pori kujificha vichakani

Huyo alizaliwa maskini na afe maskini
 
Back
Top Bottom