Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

Daaa sasa hawa wanazidi kufanya mikopo iwe masharti magumu sanaaa......hivi bank gani ina masharti nafuu kukopa ? Kwa mortgage ?
 
Kuna dili hapa na watu wa crdb. Lakini si anafahamika na ameweka collateral, sioni tatizo
 
Acheni uongo hauwezi kopa 50m bila ya collateral ya maana. Hizi ni stori za kutafuta streams, hits na views
Unaweza kuta Collateral kaweka hati ya ndugu au Jamaa yake,na bado kakimbia na kawaachia msala hao wenye hati, labda iwe ile mikopo faster ya Wafanyabiashara ya kuaangalia tu biashara!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mm nilivyo- elewa- ile clip - jamaa bado hajapewa mkopo, ila aliomba mkopo wa 50m, kwa dhamana ya biashara ya nafaka.
Ki- utaratibu maafisa wa benki lazima wakutembelee ili wajilidhishe.
Walipofika na kufanya ukaguzi wakagundua kiasi kikubwa cha nafaka kikiwa katika hali ya kuoza.







Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kuna bank unaweza kwenda kuomba 50M kwa dhamana ya kiduka kama hiko? Ambacho hata hakina gunia 200? Tena crdb! Kuweni serious kidogo
 
na ndivyo ilivyo. Tangu lini CRDB wakakopesha mikopo ya biashara pasipo kutanguliziwa rushwa?
 
CRDB hawaoni hata aibu kushare video hii... Wajinga ni wao kuingizwa mjini kipumbavu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…