TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Nyota wa Filamu na Tamthilia nchini, Grace Mapunda maarufu kwa jina la Tessa amefariki Dunia, leo Novemba 2, 2024

Sababu ya kifo cha Tessa ambaye hivi karibuni alikuwa akionekana kwenye Tamthilia ya Huba bado haijafahamika

Mtayarishaji wa Tamthilia ya Huba Lulu Hassan, ameandika “Go well mamaa...hili ni pigo kubwa sana kwa familia, jamaa, ndugu na marafiki... haswa tasnia ya filamu Afrika Mashariki… tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi... Pumzika kwa amani Tesa (Grace Mapunda)”
Rip tesa
 
My GOD[emoji25], Alale mahala pema. Huu mwaka uishe kwa amani aki[emoji21], watu tunaowapenda eti ndio wanaondoka, tena ghafla[emoji30],

Grace upumzike kwa amani dada angu, woiii[emoji20]
 
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.

Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.

Aise apumzike kwa mani
 
Oh Lord! Pumzika kwa amani, Mama.
 
Back
Top Bottom