Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Wameishapost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amaniAzam alicheza tamthilia ya Panguso iliyoandaliwa na Jimmy Mafufu (Kipunje)
Alipewa role ya mke wa Prof Utanzingwa.
Amefanya kazi nyingi nyingi mno huyu mama
Yaani yupo kwenye michezo Mingi toka enzi hizo hadi sasa
Currently alikuwa DStv huko
Rip tesa
Nyota wa Filamu na Tamthilia nchini, Grace Mapunda maarufu kwa jina la Tessa amefariki Dunia, leo Novemba 2, 2024
Sababu ya kifo cha Tessa ambaye hivi karibuni alikuwa akionekana kwenye Tamthilia ya Huba bado haijafahamika
Mtayarishaji wa Tamthilia ya Huba Lulu Hassan, ameandika “Go well mamaa...hili ni pigo kubwa sana kwa familia, jamaa, ndugu na marafiki... haswa tasnia ya filamu Afrika Mashariki… tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi... Pumzika kwa amani Tesa (Grace Mapunda)”
Unawafahamu wanawe mkuu? Umepotea sana JF dogo😀😀😀Duh Poleni Wafiwa Wale wanae Pia Ndo Pole zao sana..
Wamekosa Baba na Mama
Aise apumzike kwa maniMwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
SawaPia tunaweza kujifunza sio kila uzi wa kuchangia. Mengine tukubali tu yatupite.
Alikuwa anaigiza HUBA DSTVAlikuwa anaigiza igizo gani huko mjini Dusalamu?
Oh Lord! Pumzika kwa amani, Mama.Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
UnethicalDuh Poleni Wafiwa Wale wanae Pia Ndo Pole zao sana..
Wamekosa Baba na Mama