true india inaonekana siasa zunawatafuna sana ila na huyu mkuu salman anadharau sana ile kesi ya kugonga mtu inaonekana ilimalizwa kifedha, huyo unayemtaja alihusika na mlipuko anaitwa sanjay dutt ndio aliyekuja tz mwaka jana mwishoniIndia nazan kuna mambo ya siasa maana kuna mmoja alihusishwaga na mlipuko wa mabomu na magaidi
Ahaa,ngoja Leo nkawasalimie kule kazkazinNipo my dear
Mzee baba Akshey anakuaje chipukizi 1988-1991 sio mbali sana? .. Salman kaanza kuactive kwenye film 1988 huku akshey 1991..Hahaha
vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?
Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
Hapana,Mzee baba Akshey anakuaje chipukizi 1988-1991 sio mbali sana? .. Salman kaanza kuactive kwenye film 1988 huku akshey 1991..
Za saizi sisterNi nzuri mnoo first time naangalia nilitoa mchozi ujue![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inaitwa hvyo hvyo!
Nitajihidi nipate kuitazama.Yap
Karrena kuna movie inaitwa Heroine yuko Arjun Rampal na Kangana Renault nzuriiii
Mi mzima nashukuru sana [emoji1] [emoji1] Chanel ten hua wanatendency hyo ya kupiga Hindi songsZa saizi sister
Mzima huko uliko..?
Leo asbuhi nilikuwa natazama channel ten aisee wamenifurahisha sana walicheza nyimbo nyingi za wakongwe mpaka wimbo wa kabhi khushi kahbie gham(sometimes there is happiness Sometimes there is sorrow).
Filamu ya dhadkan ni nzuri mno inasisimua sana(unaweza hisi wewe ndio upo katika nafasi ile)na inamafundisho mazuri kweli.
Wahindi katika filamu za mahusiano na mahaba nawapa Heshima yao sidhani kama wanawapinzani duniani.
Mkuu,wanamwita Bebo
Nzuriii yaani iliuza haswaaNitajihidi nipate kuitazama.
Duuu Kumbe bado upo?Salman Khan ana majanga, miaka michache ilopita pia si alikua na kesi alimgonga mtu na gari? Sijui aliua.
Okay okay..Hapana,
Mkuu jaribu kusoma tena vyema nilichokiandika utanielewa vizuri.
Ulijua nimeenda wapi?Duuu Kumbe bado upo?
Sanjay duty huyo ndo alipewa urithi akarudisgaNimejikuta Nacheka,geniveros Ahsante Mchambuzi Wetu Ila Kuna Msanii Hamjamtaja Hata Nimemsahau Jina,yule Majuzi Shabiki Wake Aliyempa Urithi Na Yeye Baada Ya Msiba Akarudisha Kwa Ndugu Wa Marehemu,yule Jamaa Sijamuona Humu,ana Roho Ngumu Sana
Nimemkumbuka Sunjay Dutt,heroine Movie Nzuri Sana Inafundisha ,pia Nampendaga Preet Zinta
Yap
Karrena kuna movie inaitwa Heroine yuko Arjun Rampal na Kangana Renault nzuriiii
Sunil shetty
Akshay kumar
Salman khan
Sunny deol
Ajay devgan
Hawa ndio walinifanya niangalie movie za kihindi