Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

Muigizaji maarufu nchini India, Salman Khan ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua swala

India nazan kuna mambo ya siasa maana kuna mmoja alihusishwaga na mlipuko wa mabomu na magaidi
true india inaonekana siasa zunawatafuna sana ila na huyu mkuu salman anadharau sana ile kesi ya kugonga mtu inaonekana ilimalizwa kifedha, huyo unayemtaja alihusika na mlipuko anaitwa sanjay dutt ndio aliyekuja tz mwaka jana mwishoni
 
Hahaha

vipi kunachipukizi ambao wanaweza kufikia walau ubora wa hawa wakongwe(Sunir shetty,Akshey Kumar,salumn,Khan,sunny deo,boby deo,n.k)..?

Lakini Kuna kipindi cha nyuma salumn na khan walikuwa marafiki sana..? (Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi..)
Mzee baba Akshey anakuaje chipukizi 1988-1991 sio mbali sana? .. Salman kaanza kuactive kwenye film 1988 huku akshey 1991..
 
Sunil shetty
Akshay kumar
Salman khan
Sunny deol
Ajay devgan

Hawa ndio walinifanya niangalie movie za kihindi
 
Miaka 5 sawa na miaka aliyoenda lupango lulu
 
Ni nzuri mnoo first time naangalia nilitoa mchozi ujue![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Inaitwa hvyo hvyo!
Za saizi sister

Mzima huko uliko..?

Leo asbuhi nilikuwa natazama channel ten aisee wamenifurahisha sana walicheza nyimbo nyingi za wakongwe mpaka wimbo wa kabhi khushi kahbie gham(sometimes there is happiness Sometimes there is sorrow).

Filamu ya dhadkan ni nzuri mno inasisimua sana(unaweza hisi wewe ndio upo katika nafasi ile)na inamafundisho mazuri kweli.

Wahindi katika filamu za mahusiano na mahaba nawapa Heshima yao sidhani kama wanawapinzani duniani.
 
Mi mzima nashukuru sana [emoji1] [emoji1] Chanel ten hua wanatendency hyo ya kupiga Hindi songs

Mi nilikua naangalia movie ya south Indian Puli yuko hayati Sri Devi
 
Nimejikuta Nacheka,geniveros Ahsante Mchambuzi Wetu Ila Kuna Msanii Hamjamtaja Hata Nimemsahau Jina,yule Majuzi Shabiki Wake Aliyempa Urithi Na Yeye Baada Ya Msiba Akarudisha Kwa Ndugu Wa Marehemu,yule Jamaa Sijamuona Humu,ana Roho Ngumu Sana
 
Nimemkumbuka Sunjay Dutt,heroine Movie Nzuri Sana Inafundisha ,pia Nampendaga Preet Zinta
 
Sanjay duty huyo ndo alipewa urithi akarudisga
Thanx amu kwa appreciation!umeadimika mnoo
 
Nimemkumbuka Sunjay Dutt,heroine Movie Nzuri Sana Inafundisha ,pia Nampendaga Preet Zinta

Kadada kazuri kalee japo kapreti Zinta nakapenda haswaa kwenye muvi ya Chori chori chupke chupke na Dulha tumhara
 
Back
Top Bottom