true india inaonekana siasa zunawatafuna sana ila na huyu mkuu salman anadharau sana ile kesi ya kugonga mtu inaonekana ilimalizwa kifedha, huyo unayemtaja alihusika na mlipuko anaitwa sanjay dutt ndio aliyekuja tz mwaka jana mwishoniIndia nazan kuna mambo ya siasa maana kuna mmoja alihusishwaga na mlipuko wa mabomu na magaidi