Siku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.Hakuchoka Nkamu
Yaani alitamani sana aishi
Hadi umauti unamkuta
Alimwambia mama Yake kuwa anarudi na atamtimizia Yale yote aliyomuahidi
Kifo kimemkatili huyu Dada jamani.
Angalia video zake wakati anaenda India
Yaani alipata tumaini.
Serikali tunashukuru imesaidia
Japo imekuwa too late.
Usione watu kwenye Dunia hii wana lipiza kisasi au mtu anakuwa chizi kuna mda unakuta mtu amemtendea mpendwa wako mambo ya ajabu kiasi moyo unashindwa kupoa au kusahau😕Ndio hapo sasa
Wametegesha alivyoenda tu India
Wakasema atatukoma
Akiyanani
Aliyehusika
Naye Mungu amuadhibu,apate mateso makali sana zaidi ya aliyoyapitia huyu dada.
Yaani😭😭Siku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.
Hiki kisasi Cha huyu Dada ni kiboko🙌🏿💔Usione watu kwenye Dunia hii wana lipiza kisasi au mtu anakuwa chizi kuna mda unakuta mtu amemtendea mpendwa wako mambo ya ajabu kiasi moyo unashindwa kupoa au kusahau😕
Kama mkono wa mtu basi huyo mtu kiboko wa roho chafu na mbaya na Mungu amlaani yeye na kizazi chake😕Yaani😭😭
Kafa kama ndoto yake ilivyokuwa
Jamani
Mimi nimeumia sana
Kaenda hadi India Dada wa watu.
Aisee
Huu ugonjwa wake Kuna namna siyo wa kawaida.
Ungekuwa wa kawaida zile operations mfululizo hapana kwa kweli.
Halafu ni kama walimtegesha
Akipata tu nafuu, wanampiga tena kidonda kinaanza upya.
AmenKama mkono wa mtu basi huyo mtu kiboko wa roho chafu na mbaya na Mungu amlaani yeye na kizazi chake😕
Kama Mimi tuHiki kifo cha huyu dada kimeniuma mno mno,kama ni ndugu yangu wa damu.
Ingekuwa wanawake wote wanafanya hivi basi ingekuwa waume za watu wanaogopaMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
MakubwaAlikuwa anatoka wadudu tumboni mara akifanyiwa operesheni kidonda kinafunguka 😢😢
Oparation 1,2,3 unaendelea?Kwa kweli operesheni zaidi ya 40 kwenye tumbo moja la binadamu si mchezo kwa kweli kaupambania sana uhai wake 😢
Unaona SS, haukuwa ugonjwa wa kawaida,🙌🙌ukiona kitu limeanzia kwenye ndoto ujue Kuna namnaSiku ya kwanza aliota ndoto anatoka damu nyingi tumboni ndio chanzo cha ugonjwa wake na alipo fariki walio shuhudia wamesema pia alitoka damu nyingi tumboni na kutapika kama alijiotea kifo chake na mateso atakayo pitia.
Wakati huo mama ake anasema shangaz zake ndo wanamfanyia ivyo.Unaambiwa alionywa ila hakusikia
Km nikiangalia mama angu alivyoteseka na hao wanaoitwa mchepuko , washukuru Mungu siwezi Fanya haya Kwa sasa laa sivyo ningeua mmoja baada ya mwingineNa zaidi wakiwaga michepuko wanaona wamewazidi kila kitu njia kuu lazima wawatafutie namna
Kweli kabisa nisingekua sio mkristo Mimi sijui naona mateso ya huyu yangekua madogoMichepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Wee kuna mambo hayasemwi ila yanajulikana tu marehemu hasemwi vibaya ila dah alijua kumtesa mwanamke mwenzakeWakati huo mama ake anasema shangaz zake ndo wanamfanyia ivyo.
Sema kama Kuna aliyemroga huyu dada aisee kaweza hadi kaweza tena
Kama ni mkono wa mtu basi huu ni zaidi ya unyama
Huyu dada ameteseka jama
Michepuko wanaojifanya wajuba (viburi)Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Hivi kweli kabisa watu mnaamini [bila ushahidi wowote ule] kuwa alirogwa?Ingekuwa wanawake wote wanafanya hivi basi ingekuwa waume za watu wanaogopa
Km ni kweli atajijuq bwana
Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwaHivi kweli kabisa watu mnaamini [bila ushahidi wowote ule] kuwa alirogwa?
Mbona binadamu kuugua ni jambo la kawaida sana…
Kuna watoto wanazaliwa na ma kila aina ya saratani na wanateseka sana na hatimaye hufariki. Na hii ni dunia nzima. Ila ikitokea Tanzania, ni uchawi.
Magonjwa hapa duniani yapo mengi mno. Na magonjwa mengine huwa ni ya nadra sana [rare diseases] na huwapata watu wachache sana.
Yawezekana huyo dada alikuwa tu na ugonjwa ulio wa nadra.
Yaani kwa Watanzania mlio wengi uchawi ndo default reason ya kila kitu! SMH.