Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa hiyo asingetembea na mume wa mtu asingepatwa na huo ugonjwa?Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dul ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dual yake lazima ijibiwe!
Au wanatuba baharini katikatiWakimaliza mambo yao wanafunga padlock alafu wanaenda kutupa chooni, utaenda kila mahali na hutoboi. Ni neema tu ya Mungu ukiponyeka, watu wabaya sana.
Sijui issue ya huyu dadaHivi kweli kabisa watu mnaamini [bila ushahidi wowote ule] kuwa alirogwa?
Mbona binadamu kuugua ni jambo la kawaida sana…
Kuna watoto wanazaliwa na ma kila aina ya saratani na wanateseka sana na hatimaye hufariki. Na hii ni dunia nzima. Ila ikitokea Tanzania, ni uchawi.
Magonjwa hapa duniani yapo mengi mno. Na magonjwa mengine huwa ni ya nadra sana [rare diseases] na huwapata watu wachache sana.
Yawezekana huyo dada alikuwa tu na ugonjwa ulio wa nadra.
Yaani kwa Watanzania mlio wengi uchawi ndo default reason ya kila kitu! SMH.
Mkuu kifo chake ndo mwisho wake ambao mungu amempangia kila mtu atakufa! Ishu ni utakufa kwenye mazingira gani? Ndo maana tunaomba mwisho mwema! mm na wewe hatujui mdhurumiwa aliomba dua gani je kama aliomba mungu ampe maradhi ytakayomdhoofisha mpaka siku yake ya mwisho je? Si ni dua hiyo eenh? Si imejibiwaKwa hiyo asingetembea na mume wa mtu asingepatwa na huo ugonjwa?
Yes, upo sahihi.Au wanatuba baharini katikati
Hapo ni mpk Yesu aingilie kati,ukute watumishi kweli kweli ,kwanza wenye macho ya kuona tatizo,chanzo na nguvu ya kuondoa Hilo tatizo
Nah! Hakuna uchawi. Ni fiksi tu.Sijui issue ya huyu dada
Ila mkuu uchawi upoo
Asikwambie mtu
Watu wanaroga
😀😀Nah! Hakuna uchawi. Ni fiksi tu.
Apumzike kwa amani
Mkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dua ya mdurumiwa lazima ijibiwe!
Basi huyo mtu ataua wengi kisa mwanaumeMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Mme wa MTU au mke wa MTU ni nadharia za kujitungua hakuna kitu kinaitwa Mme wa MTU wala mke wa MTUMkuu kwa imani yangu tunaambiwa miongoni mwa dua(maombi ) ambayo hayana pazia bi maana yanajibiwa haraka ni dua ya mtu alodhurumiwa
Hata kama hakurogwa kitendo cha kutembea na mume wa mtu na ukaonyesha jeuri unaonywa husikii ni uchawi Tosha ..mkuu dhulma ni mbaya
Dua ya mdurumiwa lazima ijibiwe!
Hamna kitu Kama hicho , hapa duniani hakuna kitu kinaitwa Mme wa MTU wala mke wa MTUBasi huyo mtu ataua wengi kisa mwanaume
Mnadanganyana Sana nyie wanwake hamna kitu Kama hichoAu wanatuba baharini katikati
Hapo ni mpk Yesu aingilie kati,ukute watumishi kweli kweli ,kwanza wenye macho ya kuona tatizo,chanzo na nguvu ya kuondoa Hilo tatizo
Mbona ashaenda India karibia sijui mara tatuNasikia utumbo wake mpana ulitoboka so akawa anapatia haja kubwa kupitia tumboni kwenye mishono ambayo alifanyiwa hapo muhimbili
Na hapo muhimbili alifanyiwa operesheni 24 ila kila akitoka kwenye operesheni haja kubwa inapitia kwenye mshono,hivi karibuni madokta wakamshauri aende india so huko akafanyiwa ya 25 ambayo alitolewa utumbo wake mpana ukabakia kidogo sana!
Operesheni ikawa successful na akawa anaendelea vizuri huku akitarajiwa kurudi tarehe 20 mwezi huu
Ila bahati mbaya kalala hajaamka!
May she RIP!
Mama yake anasema mashangazi zake ndio walomtoa kafara HawaHamna kitu Kama hicho , hapa duniani hakuna kitu kinaitwa Mme wa MTU wala mke wa MTU