TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Mimi huwa sipendi huu utaratibu wa mgonjwa akiwa hajapona kamili kurekodiwa na kuoneshwa eti anaendelea vizur, inawapa advantage sana maadui zako na kuwapa fursa ya kujipanga na kukurudia wakiwa imara zaidi, sijui kwa nini huwa tunakosa subra mpaka mtu apone kabisa.
 
Apumzike kwa aman ameteseka sana uyo mdada
 
Sio chakula tu mama,haja kubwa ilikua inatokea hapo kwenye mshono tumboni so akawa anatoa harufu sana
 
Wataalamu mtusaidie inakuaje Hawa alitolewa utumbo mkubwa ulioharibika jinsi ulivyo mwngi mpka ndoo ikajaa,.....Pumzika Hawa
Mimi nahisi alipokua hapa huenda hakupata diagnosis ilio sahihi mana alipokua India niliona anapohojiwa akasema wahindi walimwambia shida ya huku tuna vifaa tiba duni vya uchunguzi,so by the time kafika kule itakua damage ilishakua kubwa hence kusurvive ikawa ishu!
 
Sio chakula tu mama,haja kubwa ilikua inatokea hapo kwenye mshono tumboni so akawa anatoa harufu sana
Mtihani. Inaskitisha mno. Chanzo hasa ni nini? Au walimharibu wakati wa matibabu?
Kuna jamaa yangu mmoja marehemu kwa sasa, ujauzito ulitunga nje ya fuko bahati mbaya ikaharibika..kwenye kumsafisha sasa ndio wakamtoboa utumbo...hapo sasa ndio ikaanza shida..yaani alipata km miezi mitatu ya matibabu na kufariki, chanzo ikiwa ni hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…