Sekta ya burudani hasa kwa dunia ya sasa imekaa against na Muumba wa hii ardhi na mbingu kwa asilimia 99.9 na hii huwezi kuona wala kuelewa kwa macho na fikra za kawaida.
Kuanzia aina ya mavazi yanayotumika kwa wote wanaume, wanawake, vijana na mpaka watoto, aina ya video zinazotengenezwa na aina ya maneno yanayotumika, vyote vina mlengo mmoja tu....kuifanya haki iwe batili na batili iwe haki. Hii sio hapa Tz pekee ni almost dunia nzima kasoro baadhi ya wasanii.
Na huyo mdudu anaitwa "cocainne, heroin" ndio shujaa wao, wakishakula hiyo miunga they feel like they own the world Na hapa ndio kale kamsemo ka freemasonry & illuminati aka "wajenzi huru" kanapotumika. ...."binadamu ni Mungu" so mpaka hatua hiyo mtu tayari anakua ameua the all fear ndani yake haogopi, haoni aibu, hajistukii, hakumbuki kwamba ana wazazi, watoto, Ndugu na jamaa, yaani kiufupi anajiona yeye ni zaidi ya Mungu!! It's a sad feeling kusema ukweli ila wengi sana hawawezi kukwepa maana tayari wameshakua brainwashed kwamba the "white shit" is their holly grail!
Ingawa wapo wasanii ambao wamejitahidi sana kubaki kwenye mstari, the the number ni ndogo sana kulinganisha na waliopotea kwenye mstari na kibaya zaidi wengi ni wale ambao jamii inawaheshimu sana na kufuata nyayo zao "role models" kiasi kwamba mpaka gari inakuja kuwaka live sehemu kubwa ya jamii imeshapoteleamo!!
****Wazazi tujitahidi sana kusema na watoto, wa kike na wa kiume bila kubagua maana Ulimwengu na walimwengu hawabagui wa kuwafunza, hali ni mbaya zaidi ya kawaida ukijumuisha na maendeleo ya tech dunia imekua kijiji leo Nyamizi kule Misungwi ndani ndani anamjua Nicky Minaj kindakindaki nae anajiita #Nyaminaj! !