Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

Wasanii wetu wengi hukumbana na nguvu ya umaarufu wa ghafla ambao huwashinda nguvu ....hujikuta wanapata pesa za ghafla ghafla bila kutarajia na kujikuta wakijifunza namna ya kuishi kistar ....mwisho wake wanajikuta wamedumbukia kwenye complications ambazo ndio kiama chao ....sababu za kuingia kwenye madawa huku kwetu si sawa na za wenzetu wa nchi zilizoendelea. Wasanii wanaopona kwenye kadhia hii ni bahati sana ....
 
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
kuiga wamarekani ndio kunawaponza....!
 
Ndaga ni hatari sana kwa matumizi ya binadamu gari ikiwaka mtihani kwako na familia.
 
Sekta ya burudani hasa kwa dunia ya sasa imekaa against na Muumba wa hii ardhi na mbingu kwa asilimia 99.9 na hii huwezi kuona wala kuelewa kwa macho na fikra za kawaida.

Kuanzia aina ya mavazi yanayotumika kwa wote wanaume, wanawake, vijana na mpaka watoto, aina ya video zinazotengenezwa na aina ya maneno yanayotumika, vyote vina mlengo mmoja tu....kuifanya haki iwe batili na batili iwe haki. Hii sio hapa Tz pekee ni almost dunia nzima kasoro baadhi ya wasanii.

Na huyo mdudu anaitwa "cocainne, heroin" ndio shujaa wao, wakishakula hiyo miunga they feel like they own the world Na hapa ndio kale kamsemo ka freemasonry & illuminati aka "wajenzi huru" kanapotumika. ...."binadamu ni Mungu" so mpaka hatua hiyo mtu tayari anakua ameua the all fear ndani yake haogopi, haoni aibu, hajistukii, hakumbuki kwamba ana wazazi, watoto, Ndugu na jamaa, yaani kiufupi anajiona yeye ni zaidi ya Mungu!! It's a sad feeling kusema ukweli ila wengi sana hawawezi kukwepa maana tayari wameshakua brainwashed kwamba the "white shit" is their holly grail!

Ingawa wapo wasanii ambao wamejitahidi sana kubaki kwenye mstari, the the number ni ndogo sana kulinganisha na waliopotea kwenye mstari na kibaya zaidi wengi ni wale ambao jamii inawaheshimu sana na kufuata nyayo zao "role models" kiasi kwamba mpaka gari inakuja kuwaka live sehemu kubwa ya jamii imeshapoteleamo!!

****Wazazi tujitahidi sana kusema na watoto, wa kike na wa kiume bila kubagua maana Ulimwengu na walimwengu hawabagui wa kuwafunza, hali ni mbaya zaidi ya kawaida ukijumuisha na maendeleo ya tech dunia imekua kijiji leo Nyamizi kule Misungwi ndani ndani anamjua Nicky Minaj kindakindaki nae anajiita #Nyaminaj! !
 
umaarufu bila kujipanga na kujitambua ndio tatizo kubwa linalowasumbua
 
Wazungu wana msemo wao curiosity killed the cat.

Maana tunajaribiwa kwa tamaa zetu wenyewe. ...mbona hatuonji sumu
 
umaarufu bila kujipanga na kujitambua ndio tatizo kubwa linalowasumbua
nadhani wanachokosa hawa wasanii ni kitu kinaitwa mental strength, yaani ule ushupavu wa kukabiliana na jinsi jamii iliyokuwa inakuona matawi ya juu na super star pale unapokosa tena hela, umeachika, nyimbo ukitoa haifanyi vizuri, na huna wa kumtumainia, hapo kama sio ngangari unatumbukia tu huko
 
Hili ni janga la kimataifa na ubaya ni kwamba halitakuja kuisha
Na wanao tumia si watoto wadogo ni watu wazima kwa utashi wao,hivi mtu anapo jua madhara ya kitu na bado aka hiari kukitumia nadhani ni kitendo cha ujasiri na cha kupongezwa haitofautiani na shujaa anaye kwenda vitani akijua kuna kufa au kupona, hata mtoto tuna ambiwa aki lilia wembe mpe yatapo mfika ndio atajua.
 
Na wanao tumia si watoto wadogo ni watu wazima kwa utashi wao,hivi mtu anapo jua madhara ya kitu na bado aka hiari kukitumia nadhani ni kitendo cha ujasiri na cha kupongezwa hai tofautiani na shujaa anaye kwenda vitani akijua kuna kufa au kupona, hata mtoto tuna ambiwa aki lilia wembe mpe yatapo mfika ndio atajua.
Tatizo wanaigiza maisha hawa jamaa, mwisho wa maigizo ndo huu ss
 
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
Waimbe nyimbo za kumtukuza Mungu
 
Tatizo wanaigiza maisha hawa jamaa, mwisho wa maigizo ndo huu ss
what do you know about being a celebrity pal?, the eyes on you, the pressure from society, the gossips, kuombewa mabaya na kila mtu, kuchunguzwa kila kitu chako n.k,
kwa yote haya kuyastahimili ni vigumu, hata wewe ungekuwa maarufu sana ni lazima u fake vitu vingi tu
 
Ningeishi kutokana na uwezo ili kusadifu yaliyomo
 
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
Umesahau shetani na yeye alikuwa mwimbaji mkuu
 
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...

Unadhani akina Jack Pemba wamekwenda Uganda kucheza... ndo majibu haya.. wauza unga ni watu wabaya sana.
 
Back
Top Bottom