Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Utakuta mwingine anaenda kuanza kuvuta Leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngada diggerGold diger
kuiga wamarekani ndio kunawaponza....!Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
nadhani wanachokosa hawa wasanii ni kitu kinaitwa mental strength, yaani ule ushupavu wa kukabiliana na jinsi jamii iliyokuwa inakuona matawi ya juu na super star pale unapokosa tena hela, umeachika, nyimbo ukitoa haifanyi vizuri, na huna wa kumtumainia, hapo kama sio ngangari unatumbukia tu hukoumaarufu bila kujipanga na kujitambua ndio tatizo kubwa linalowasumbua
Na wanao tumia si watoto wadogo ni watu wazima kwa utashi wao,hivi mtu anapo jua madhara ya kitu na bado aka hiari kukitumia nadhani ni kitendo cha ujasiri na cha kupongezwa haitofautiani na shujaa anaye kwenda vitani akijua kuna kufa au kupona, hata mtoto tuna ambiwa aki lilia wembe mpe yatapo mfika ndio atajua.Hili ni janga la kimataifa na ubaya ni kwamba halitakuja kuisha
Waendelee tu kuitafuta.Inawezekana labda wanatafuta mizuka wakiwa jukwaani.
Tatizo wanaigiza maisha hawa jamaa, mwisho wa maigizo ndo huu ssNa wanao tumia si watoto wadogo ni watu wazima kwa utashi wao,hivi mtu anapo jua madhara ya kitu na bado aka hiari kukitumia nadhani ni kitendo cha ujasiri na cha kupongezwa hai tofautiani na shujaa anaye kwenda vitani akijua kuna kufa au kupona, hata mtoto tuna ambiwa aki lilia wembe mpe yatapo mfika ndio atajua.
Waimbe nyimbo za kumtukuza MunguNinaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
what do you know about being a celebrity pal?, the eyes on you, the pressure from society, the gossips, kuombewa mabaya na kila mtu, kuchunguzwa kila kitu chako n.k,Tatizo wanaigiza maisha hawa jamaa, mwisho wa maigizo ndo huu ss
Ningeishi kutokana na uwezo ili kusadifu yaliyomowhat do you know about being a celebrity pal?, the eyes on you, the pressure from society, the gossips, kuombewa mabaya na kila mtu, kuchunguzwa kila kitu chako n.k,
kwa yote haya kuyastahimili ni vigumu, hata wewe ungekuwa maarufu sana ni lazima u fake vitu vingi tu
Umesahau shetani na yeye alikuwa mwimbaji mkuuNinaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...