jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Bata na nguruwe nani msafi zaidi ya mwezie.??Nguruwe haliwi, ni haramu! Nguruwe ni mnyama mchafu sana anayefugwa huko vijiji, anaishi kwa kula vitu vya ajab ajab tu!
Kitimoto ni nyama ya nguruwe na hiyo ni safi mno, ikiandaliwa vyema hasa rost kwa ndizi ama ugali basi huondoa stress za njaa na mawazo!
Tuendelee kula kitimoto!!
swala la kuishi sana au kutoishi sana ni mipango ya mungu. ila kama kitu ukiambiwa kina madhara unaweza ukaachana nacho au uoaendelea nacho.Sasa babu yangu amekula hiyo nyama pendwa na ameishi zaidi ya miaka 100...
Hebu tupe madhara serious basi.
Qatar nimependa msimamo wao, uko sahihi na hakuna ataye wafanya lolote
Sishiriki mapenzi ya jinsia moja kama wewe.swala la kuishi sana au kutoishi sana ni mipango ya mungu. ila kama kitu ukiambiwa kina madhara unaweza ukaachana nacho au uoaendelea nacho.
Ukitaka madhara seriouz na me naweza nikakuuliza wewe unashiriki mapenzi ya jinsia moja
uko kwenye mada ya nguruwe wewe hata usiwaze tutarudi tu.Sishiriki mapenzi ya jinsia moja kama wewe.
Turudi kwenye mada ya nguruwe sasa...
Sijajua kama kuna madhara maana sijawahi hata kuwaza kujaribu... Tupe uzoefu wako basi afu turudi kwa nguruwe....uko kwenye mada ya nguruwe wewe hata usiwaze tutarudi tu.
Sasa kwanini hautaki kushiriki mapenzi ya jinsia moja kwani umesikia kuna madhara yoyote yale
basi hakuna madhara yoyote ndugu yangu nakushauri leo utafute mtu akujaribu kidogo au unalionaje wazo languSijajua kama kuna madhara maana sijawahi hata kuwaza kujaribu... Tupe uzoefu wako basi afu turudi kwa nguruwe....
Kwahiyo unataka niwe kama wewe?basi hakuna madhara yoyote ndugu yangu nakushauri leo utafute mtu akujaribu kidogo au unalionaje wazo langu
Ndio nataka uthibitishe kwa mdomo wako maana inaonesha wewe hauamni kitu mpaka ufanyiwe au umuone mtu anafanyiwa.Kwahiyo unataka niwe kama wewe?
inshu inayokuja kuna watu wanaleta ushabiki kwenya masuala ya ukweli yani unaitajika ukweli yeye analeta ushabikiPale unapofungua uzi upate maarifa lakini unakutana na mizaha chungu nzima...
Na kwanini upite, karibu namsikitini na nguruwe si kujitafutia msala tuNiliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya msikiti ikawa nongwa! Nilizongwa sana, tulichapana sana mkono na madogo wa msikitini pale,walianza kama masikhara apigwe apigwe,nilipambana kiume wakataka kuchoma pikipiki. Ila nilichapika sana siku ile sitasahau. Akatokea mzee mtu mzima toka msikitini akawaamuru waniachie ndo tifu likaisha. Nguruwe wangu nilikuwa nimemfunga nyuma na mipira nikawasha chuma nikasepa.
nguruwe mwenyewe aliona duuuh ππππ leo kimeumana sijili ila napigwa japo kujamchokoza mtuNa kwanini upite, karibu namsikitini na nguruwe si kujitafutia msala tu
Ova
Hivi sigara pamoja na madhila yote inayosababisha Kwa watumiaji na wasiotumia hamjaona sababu ya kuiharamisha kama ilivyo pombe na nguruwe?Kulingana na Uislamu vitu vinaharamishwa kwa sababu nyingi; ima kwa hekima, au bila hekima ikiwa ni sehemu ya mitihani na kupimwa viumbe utiifu wao, na kwa hekima mfano ni vichafu au vina madhara. Ikiwa kitu chochote kina madhara kinakuwa haraam; na kikiwa kina manufaa kinakuwa halaal; na kikiwa madhara yake ni makubwa kuliko manufaa kitakuwa ni haraam; ilhali madhara yake yakiwa ni kidogo kuliko manufaa kinakuwa ni halaal
Mbona boss sigara haramu kitambo tu uliza uelimishwe mkuuHivi sigara pamoja na madhila yote inayosababisha Kwa watumiaji na wasiotumia hamjaona sababu ya kuiharamisha kama ilivyo pombe na nguruwe?
Tupe aya au hadith sheikh kuhusu uharam wa sigara.Mbona boss sigara haramu kitambo tu uliza uelimishwe mkuu
[emoji1]nguruwe mwenyewe aliona duuuh [emoji849][emoji849][emoji849][emoji16] leo kimeumana sijili ila napigwa japo kujamchokoza mtu
ukifa ndio utakapojua kwamba nimoto upi.Moto gani huu wa taifa gesi wanao kaangia kitimoto ama??wafia dini ni watu wa hovyo na waakili finyu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Imani yenu imeruhusu kula kukiwa na njaa na hakuna chakula kingineanae kula ngurue Hana tofauti nambwa. Mana anakula uchafu
Ngoja nihamie zangu Qatar, hakuna kuwaza mwenzako ana mchepukp. Inaonesha wanaishi kwa amani