Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Niliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya msikiti ikawa nongwa! Nilizongwa sana, tulichapana sana mkono na madogo wa msikitini pale,walianza kama masikhara apigwe apigwe,nilipambana kiume wakataka kuchoma pikipiki. Ila nilichapika sana siku ile sitasahau. Akatokea mzee mtu mzima toka msikitini akawaamuru waniachie ndo tifu likaisha. Nguruwe wangu nilikuwa nimemfunga nyuma na mipira nikawasha chuma nikasepa.
[emoji16]pole mkuu kwa kisago,chukua wine[emoji898]
 
Samahani mkuu, naomba kufahamu hivi uharamu wa huyo mnyama unatokana na nini. Nahitaji kuipata hii elimu aisee.
Kama unaifuatilia dini yako, utagundua hata ndani ya ukristo, wapo wasio kula nguruwe kwa sababu hizo hizo za kiimani, sema kuna sehemu bibilia imejichanganya, na kusababisha waumini kugawanyika katika kula nyama ya Nguruwe au kuto kula.

Kwenye Agano la kale, ukisoma utapata sababu za kuto kuliwa nguruwe, agano jipya utapata sababu za Wakristo kula nguruwe.

Mungu alipo muumba binadamu, alimpa akili, hivyo ampa mipaka, jinsi ya kuishi ili kutimiza ubidamu wake na kujipima imani mbele ya Mungu.
Mfano: wanyama hutembea na kuzaa na ndugu wa damu, mama za baba zao dada zao na kaka zao, njia mke wake ni dada aliyezaliwa nae.

Sasa nikuulize Je wewe unaweza zaa na hao ndugu wa damu, ikiwa viumbe wengine wanazaa wewe tatizo nini usizae hata na Dada yako, je mimba haitaingia sababu ni Dada yako, nategemea Utanijibu.

Kuhusu kula, hata wanyama, hawali kila chakula, ispokua nguruwe tu, nguruwe hata ukimpa mtoto wa binadamu, atamla, mbuzi ukimpa nyama hali, mbwa pamoja na kula nyama hali nyama ya binadamu, ndio maana akina Dada wanajifungua na kuwatupa watoto, mbwa huwaokota na kuwapelekea binadamu.

Hivyo kula nguruwe hakuna madhara yeyote kuonekana, kama ilivyo kwa kutembea na ndugu wa damu, ilivyo kufanya mapenzi na ndugu wa damu, ila ni sababu za kiimani na kibinadamu.
 
Hawana fedha mifukoni ndiyo maana kila siku kuna mada za ajabu ajabu
Hapata ukristo siku hizi, umeshikwa sana na matapeli, hivyo wanatafuta wafuasi wawatoe pesa.

Hizi mada unazoziona humu kutwa zinatumwa, hutupwa na wanaobudu kupitia haya makanisa ya kitapeli ya pendecoast, upumbavu huu huwezi ukuta kwa watu Roman Cathoric, KKKT na makanisa ya Zamani, shida makanisa ya watu binafsi.

Hebu nenda istagram, zafuta page ya, glady_welfare_organization, uone wanawake wamepandwa na mapepo kanisani wanapiga kumfuu hao, sema tu wote wamevaa, suruali.
 
Mwingine huyu hapa anafuga kabisa Huko Zanzibar
20221113_193211.jpg
 
Poleni na majukumu wakuu.
Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe?

Kama hapana je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti akiwemo na nguruwe au taaluma haina dini?

Kama ndiyo basi daktari hatakiwi kuwa na itikadi ya dini yoyote kwa maana hakuna kitabu cha dini yotote kinachoruhusu kula nguruwe ila kama mimi sijaelewa basi naomba wajuvi wa mambo haya mnisaidie[emoji120]
Kama anaweza kutoa mtu mimba,hili sio gumu.
 
Kulingana na Uislamu vitu vinaharamishwa kwa sababu nyingi; ima kwa hekima, au bila hekima ikiwa ni sehemu ya mitihani na kupimwa viumbe utiifu wao, na kwa hekima mfano ni vichafu au vina madhara. Ikiwa kitu chochote kina madhara kinakuwa haraam; na kikiwa kina manufaa kinakuwa halaal; na kikiwa madhara yake ni makubwa kuliko manufaa kitakuwa ni haraam; ilhali madhara yake yakiwa ni kidogo kuliko manufaa kinakuwa ni halaal
Kwa hiyo nguruwe ana madhara gani mkuu
 
Kama unaifuatilia dini yako, utagundua hata ndani ya ukristo, wapo wasio kula nguruwe kwa sababu hizo hizo za kiimani, sema kuna sehemu bibilia imejichanganya, na kusababisha waumini kugawanyika katika kula nyama ya Nguruwe au kuto kula.

Kwenye Agano la kale, ukisoma utapata sababu za kuto kuliwa nguruwe, agano jipya utapata sababu za Wakristo kula nguruwe.

Mungu alipo muumba binadamu, alimpa akili, hivyo ampa mipaka, jinsi ya kuishi ili kutimiza ubidamu wake na kujipima imani mbele ya Mungu.
Mfano: wanyama hutembea na kuzaa na ndugu wa damu, mama za baba zao dada zao na kaka zao, njia mke wake ni dada aliyezaliwa nae.

Sasa nikuulize Je wewe unaweza zaa na hao ndugu wa damu, ikiwa viumbe wengine wanazaa wewe tatizo nini usizae hata na Dada yako, je mimba haitaingia sababu ni Dada yako, nategemea Utanijibu.

Kuhusu kula, hata wanyama, hawali kila chakula, ispokua nguruwe tu, nguruwe hata ukimpa mtoto wa binadamu, atamla, mbuzi ukimpa nyama hali, mbwa pamoja na kula nyama hali nyama ya binadamu, ndio maana akina Dada wanajifungua na kuwatupa watoto, mbwa huwaokota na kuwapelekea binadamu.

Hivyo kula nguruwe hakuna madhara yeyote kuonekana, kama ilivyo kwa kutembea na ndugu wa damu, ilivyo kufanya mapenzi na ndugu wa damu, ila ni sababu za kiimani na kibinadamu.
Mifano yako naona kama ni irrelevant.
Samahani lakini.
 
Kwa hiyo nguruwe ana madhara gani mkuu
Ewaaaa swali zuri sana nakupa jibu alafu hilo jibu nataka ukawape na wengine .

SABABU GANI NA KUNA ATHARI GANI YA KIAFYA KWENYE ULAJI WA NYAMA YA NGURUWE

[KUWA NA] VITU VYENYE SUMU

Nyama ya nguruwe ina mafuta mengi sana. Ikiwa italiwa, mafuta huchanganyika na damu. Kwahiyo, damu huchanganyika na chembechembe za mafuta. Kiwango hiki kikubwa cha mafuta husababisha magonjwa yanayojulikana kama, arteriosclerosis, presha (hypertension) na magonjwa ya moyo (heart infarct). Zaidi ya hayo, vitu vyenye sumu vijulikanavyo kama sutoxines vinapatikana kwenye siagi (lard). Matezi ya limpathik (Lymphatic glands) hulazimika kufanya kazi ngumu ili kuondoa chembechembe hizo za sumu ambazo huingia mwilini. Husababisha maambukizi na kunyonya tezi zijulikanazo kama lymph nodes hasa kwa watoto. Koromeo la mtoto humeza na kuonekana kama la nguruwe. Hivyo basi, maradhi haya yanajulikana kama scrofulosis (maradhi ya nguruwe). Kama maradhi yataongezeka, tezi zote za lymph huathiriwa na kumezwa. Hali joto huongezeka; maumivu huanza na hali ya hatari sana hujitokeza.

KIWANGO KIKUBWA CHA SALFA

Tishu zijulikazo kama kolageni (collagen tissue) zilizopo katika mfumo wa majimaji kamasi (mucus) ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye nyama ya nguruwe, zina kiwango kikubwa sana cha salfa (sulfur). Hivyo, kiwango kikubwa cha salfa huchukuliwa na kuingizwa mwilini. Kiwango hiki cha ziada cha salfa hubaki kwenye misuli (muscles) na mishipa ya neva (nerves), na kusababisha maambukizi kwenye viungio (joints), calcification na ngiri (hernia) kwenye viuno (loins). Ikiwa mtu atakuwa na mazoea ya kula nyama ya nguruwe, sehemu ngumu (hard cartilage) kwenye mwili itaondolewa na tishu za kolageni zenye mfumo wa majimaji (kamasi) kutoka kwa nguruwe. Hatimae, fuvu gumu linalainika; haliwezi sasa kuhimili uzito wa mwili na huvunjika. Hivyo basi, uharibifu kwenye viungo huanza kujitokeza. Miili ya wanaokula nyama ya nguruwe huwa legevu kama jeli; tabaka za mafuta hutengenezeka. Kwa mfano, mwanamichezo akila nguruwe, huwa mchovu, mvivu na kutokuwa madhubuti. Baadhi ya wachezaji wa mpira hufikia hatua ya kukata tamaa kwasababu ya matumizi ya nyama ya nguruwe.

UKUAJI KUPINDUKIA

Kiwango cha vichocheo vya makuzi (growth hormone) kwenye nguruwe ni vingi kupita kiasi. Kitoto cha nguruwe ambazo kina uzito wa gramu mia kadhaa anapozaliwa huwa na kilo mia kwa miezi sita tu. Kwa kiwango hicho cha makuzi ni kutokana na kiwango kikubwa cha vichocheo vya makuzi (growth hormone). Homoni ya makuzi inayobebwa na nyama ya nguruwe husababisha kumezwa kwa tishu na maambukizi kwenye mwili. Husababisha pua, kidevu, mkono na mifupa ya miguu kukuwa katika hali isiyo ya kawaida na mwili kuganda mafuta. Jambo la hatari zaidi kwenye homoni hii ya makuzi ni uwezekano wa kufungua njia ya kupata saratani (cancer). Kwakweli, wachinjaji wa nguruwe wanaeleza kwamba nguruwe dume hupata saratani baada ya umri fulani.

MARADHI YA NGOZI

Chembe chembe zinazojulikana kama histamine na imidazole kwenye nyama ya nguruwe husababisha maumivu kupita kiasi. Pia hurahisisha kutokea kwa maradhi ya kuambukiza ya ngozi kama vile ugonjwa unaojulikana kama eczema, damatiti (dermatitis) na nyurodamatitis (neurodermatitis). Chembechembe hizi huongeza hatari ya kutokea majipu (boils), kidole tumbe (appendicitis), magonjwa ya kibofu (gall bladder diseases), venali (venal) na maambukizi ya ateri (arterial infections). Kwa sababu hiyo, madaktari huwashauri wagonjwa wa moyo wasile nyama ya nguruwe.

NYAMA YA NGURUWE NA MNYOO UJULIKANAO KAMA TRICHINA

Moja ya maradhi hatari sana ambayo yanaaambukizwa kwa mwanadamu kupitia nyama ya nguruwe ni trichina. Ingawa, trichina hausababishi tatizo kubwa kwa nguruwe mwenyewe. Hata hivyo, mnyoo huu unasababisha maradhi hatari sana kwa wanadamu. Mnyoo wa trichina humezwa kupitia nyama ya nguruwe na kwenda kwenye damu kupitia utumbo mkubwa na utumbo mdogo. Hivyo basi, hutapakaa mwili mzima.

Minyoo ya trichina hukaa hasa kwenye tishu za misuli kwenye magego, ulimi, shingo, koo na maeneo ya kifuani. Husababisha kupooza kwenye kutafuna, kuzungumza na misuli ya kumezea. Pia husabisha vikwazo kwenye mishipa, tatizo la meningitis na athari kwenye ubongo. Na hatari zaidi zinaweza kusababisha kifo. Jambo la hatari katika maradhi haya ni kwamba hayana tiba sahihi. Ugonjwa wa trichina ni maarufu hasa kwenye nchi za Ulaya. Mripuko wa maradhi ya trichina umeshuhudiwa kwenye nchi kama vile Uswidi (Sweden), Uingereza, na Poland, licha ya udhibiti wa mifugo. Uturuki, mripuko wa ugonjwa wa trichina haujawahi kuonekana isipokuwa kwenye jamii za Wakristo wanaoishi Uturuki.

CHAKULA NA TABIA YA MWANADAMU

Wanadamu na wanyama huathiriwa na vyakula wanavyokula kwa kiasi fulani. Kwa mfano, inajulikana kwamba wanyama wanaokula nyama (carnivorous) kama paka, mbwa na simba ni wakali na wanyama wanaokula majani (herbivorous ) kama kondoo, mbuzi na ngamia ni watiifu na wapole. Na hivyo hivyo kwa wanadamu. Imeonekana kwamba watu wanaokula mboga kwa ujumla wao ni wapole, na wale wanaokula nyama na yatokanayo na nyama ni wakali. Nguruwe ni mnyama pekee ambae hana wivu kwa mwenza wake wa kike. Imegundulika kuwa hisia za wivu zinadhoofika au kuisha kabisa kwa wanaotumia nyama ya nguruwe. Katika kulipa umuhimu jambo la athari za chakula kwenye tabia, Savorin, mwanafalsafa wa Kifaransa amesema “Niambie unachokula, ntakuambia wewe ni nani.”

CHAKULA CHA HALALI KINATOSHA KWA MAHITAJI YA MWANADAMU

Mola wetu ametuumbia aina nyingi za vyakula kwa ajili yetu. Ingawa, Ametukataza tusile na tusinywe aina za vyakula vyenye madhara kwasababu Ana ukarimu na huruma isiyo na ukomo. Hamtwishi mja wake mzigo mzito ambao ni nje ya uwezo wake. Maamrisho na makatazo yake ni rahisi kutekelezwa. Kwani mtu atapoteza nini akiacha kunywa pombe na ikiwa hali nyama ya nguruwe?

Hilo jibu kama alijakutosha niambie mkuu nitakupa jibu jingine cha umuhimu nataka upate elimu tu
 
Kwa hiyo nguruwe ana madhara gani mkuu
Kuna mtu nimemjibu, kuwa imani na ubinadamu ndicho kinachotofanya tuwe na mipanga na baadhi ya mambo, ingawa ukifanya hakuna madhara ya moja kwa moja.

Ni nini kinachokuzia kutembea na ndugu yako wa Damu, ikiwa maumbile ni yaleyale mimba itaingia na mtu atazaa.
 
Mifano yako naona kama ni irrelevant.
Samahani lakini.
Samahani sababu umemalizia neno la kiingereza, au Kwa kuona mifano yangu haina maana, au utaki tu kuamini Kuwa, Muislamu hali nguruwe kwa sababu za kiimani, ila hakila hakuna madhara ya wazi atakayopata ispokua imani yake itatetereka.

Sawa na mtu atakae tembea na ndugu wa damu, hakuna madhara ya wazi, ila hali ya ubinadamu wake na imani yake itatetereka.
 
Nimesoma mifugo na waislam wanamshika nguruwe vizuri sana na wanamtibu na kumwosha kabisa,wengine walienda mbali zaid wakamla sio mara moja na si mmoja na walikiri huyu mdudu wanamsingizia hana makosa yoyote
Daah!😅😅
 
Niliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya msikiti ikawa nongwa! Nilizongwa sana, tulichapana sana mkono na madogo wa msikitini pale,walianza kama masikhara apigwe apigwe,nilipambana kiume wakataka kuchoma pikipiki. Ila nilichapika sana siku ile sitasahau. Akatokea mzee mtu mzima toka msikitini akawaamuru waniachie ndo tifu likaisha. Nguruwe wangu nilikuwa nimemfunga nyuma na mipira nikawasha chuma nikasepa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huo sasa ukorofiiii
 
Poleni na majukumu wakuu.
Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe?

Kama hapana je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti akiwemo na nguruwe au taaluma haina dini?

Kama ndiyo basi daktari hatakiwi kuwa na itikadi ya dini yoyote kwa maana hakuna kitabu cha dini yotote kinachoruhusu kula nguruwe ila kama mimi sijaelewa basi naomba wajuvi wa mambo haya mnisaidie[emoji120]
Umeuliza mwenyewe umejijibu mwenyewe.

Sasa nakuuliza wewe, kutokana na aya hii ya Biblia, lielekeze swali hilo kwa mktisto halafu Ali jibu...

Kumbukumbu la torati ango wa 14:
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
 
Nimesoma mifugo na waislam wanamshika nguruwe vizuri sana na wanamtibu na kumwosha kabisa,wengine walienda mbali zaid wakamla sio mara moja na si mmoja na walikiri huyu mdudu wanamsingizia hana makosa yoyote

Ooh biblia inamsingizia? Soma...

Kumbukumbu la torati mlango wa 14.
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
 
Ewaaaa swali zuri sana nakupa jibu alafu hilo jibu nataka ukawape na wengine .

SABABU GANI NA KUNA ATHARI GANI YA KIAFYA KWENYE ULAJI WA NYAMA YA NGURUWE

[KUWA NA] VITU VYENYE SUMU

Nyama ya nguruwe ina mafuta mengi sana. Ikiwa italiwa, mafuta huchanganyika na damu. Kwahiyo, damu huchanganyika na chembechembe za mafuta. Kiwango hiki kikubwa cha mafuta husababisha magonjwa yanayojulikana kama, arteriosclerosis, presha (hypertension) na magonjwa ya moyo (heart infarct). Zaidi ya hayo, vitu vyenye sumu vijulikanavyo kama sutoxines vinapatikana kwenye siagi (lard). Matezi ya limpathik (Lymphatic glands) hulazimika kufanya kazi ngumu ili kuondoa chembechembe hizo za sumu ambazo huingia mwilini. Husababisha maambukizi na kunyonya tezi zijulikanazo kama lymph nodes hasa kwa watoto. Koromeo la mtoto humeza na kuonekana kama la nguruwe. Hivyo basi, maradhi haya yanajulikana kama scrofulosis (maradhi ya nguruwe). Kama maradhi yataongezeka, tezi zote za lymph huathiriwa na kumezwa. Hali joto huongezeka; maumivu huanza na hali ya hatari sana hujitokeza.

KIWANGO KIKUBWA CHA SALFA

Tishu zijulikazo kama kolageni (collagen tissue) zilizopo katika mfumo wa majimaji kamasi (mucus) ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye nyama ya nguruwe, zina kiwango kikubwa sana cha salfa (sulfur). Hivyo, kiwango kikubwa cha salfa huchukuliwa na kuingizwa mwilini. Kiwango hiki cha ziada cha salfa hubaki kwenye misuli (muscles) na mishipa ya neva (nerves), na kusababisha maambukizi kwenye viungio (joints), calcification na ngiri (hernia) kwenye viuno (loins). Ikiwa mtu atakuwa na mazoea ya kula nyama ya nguruwe, sehemu ngumu (hard cartilage) kwenye mwili itaondolewa na tishu za kolageni zenye mfumo wa majimaji (kamasi) kutoka kwa nguruwe. Hatimae, fuvu gumu linalainika; haliwezi sasa kuhimili uzito wa mwili na huvunjika. Hivyo basi, uharibifu kwenye viungo huanza kujitokeza. Miili ya wanaokula nyama ya nguruwe huwa legevu kama jeli; tabaka za mafuta hutengenezeka. Kwa mfano, mwanamichezo akila nguruwe, huwa mchovu, mvivu na kutokuwa madhubuti. Baadhi ya wachezaji wa mpira hufikia hatua ya kukata tamaa kwasababu ya matumizi ya nyama ya nguruwe.

UKUAJI KUPINDUKIA

Kiwango cha vichocheo vya makuzi (growth hormone) kwenye nguruwe ni vingi kupita kiasi. Kitoto cha nguruwe ambazo kina uzito wa gramu mia kadhaa anapozaliwa huwa na kilo mia kwa miezi sita tu. Kwa kiwango hicho cha makuzi ni kutokana na kiwango kikubwa cha vichocheo vya makuzi (growth hormone). Homoni ya makuzi inayobebwa na nyama ya nguruwe husababisha kumezwa kwa tishu na maambukizi kwenye mwili. Husababisha pua, kidevu, mkono na mifupa ya miguu kukuwa katika hali isiyo ya kawaida na mwili kuganda mafuta. Jambo la hatari zaidi kwenye homoni hii ya makuzi ni uwezekano wa kufungua njia ya kupata saratani (cancer). Kwakweli, wachinjaji wa nguruwe wanaeleza kwamba nguruwe dume hupata saratani baada ya umri fulani.

MARADHI YA NGOZI

Chembe chembe zinazojulikana kama histamine na imidazole kwenye nyama ya nguruwe husababisha maumivu kupita kiasi. Pia hurahisisha kutokea kwa maradhi ya kuambukiza ya ngozi kama vile ugonjwa unaojulikana kama eczema, damatiti (dermatitis) na nyurodamatitis (neurodermatitis). Chembechembe hizi huongeza hatari ya kutokea majipu (boils), kidole tumbe (appendicitis), magonjwa ya kibofu (gall bladder diseases), venali (venal) na maambukizi ya ateri (arterial infections). Kwa sababu hiyo, madaktari huwashauri wagonjwa wa moyo wasile nyama ya nguruwe.

NYAMA YA NGURUWE NA MNYOO UJULIKANAO KAMA TRICHINA

Moja ya maradhi hatari sana ambayo yanaaambukizwa kwa mwanadamu kupitia nyama ya nguruwe ni trichina. Ingawa, trichina hausababishi tatizo kubwa kwa nguruwe mwenyewe. Hata hivyo, mnyoo huu unasababisha maradhi hatari sana kwa wanadamu. Mnyoo wa trichina humezwa kupitia nyama ya nguruwe na kwenda kwenye damu kupitia utumbo mkubwa na utumbo mdogo. Hivyo basi, hutapakaa mwili mzima.

Minyoo ya trichina hukaa hasa kwenye tishu za misuli kwenye magego, ulimi, shingo, koo na maeneo ya kifuani. Husababisha kupooza kwenye kutafuna, kuzungumza na misuli ya kumezea. Pia husabisha vikwazo kwenye mishipa, tatizo la meningitis na athari kwenye ubongo. Na hatari zaidi zinaweza kusababisha kifo. Jambo la hatari katika maradhi haya ni kwamba hayana tiba sahihi. Ugonjwa wa trichina ni maarufu hasa kwenye nchi za Ulaya. Mripuko wa maradhi ya trichina umeshuhudiwa kwenye nchi kama vile Uswidi (Sweden), Uingereza, na Poland, licha ya udhibiti wa mifugo. Uturuki, mripuko wa ugonjwa wa trichina haujawahi kuonekana isipokuwa kwenye jamii za Wakristo wanaoishi Uturuki.

CHAKULA NA TABIA YA MWANADAMU

Wanadamu na wanyama huathiriwa na vyakula wanavyokula kwa kiasi fulani. Kwa mfano, inajulikana kwamba wanyama wanaokula nyama (carnivorous) kama paka, mbwa na simba ni wakali na wanyama wanaokula majani (herbivorous ) kama kondoo, mbuzi na ngamia ni watiifu na wapole. Na hivyo hivyo kwa wanadamu. Imeonekana kwamba watu wanaokula mboga kwa ujumla wao ni wapole, na wale wanaokula nyama na yatokanayo na nyama ni wakali. Nguruwe ni mnyama pekee ambae hana wivu kwa mwenza wake wa kike. Imegundulika kuwa hisia za wivu zinadhoofika au kuisha kabisa kwa wanaotumia nyama ya nguruwe. Katika kulipa umuhimu jambo la athari za chakula kwenye tabia, Savorin, mwanafalsafa wa Kifaransa amesema “Niambie unachokula, ntakuambia wewe ni nani.”

CHAKULA CHA HALALI KINATOSHA KWA MAHITAJI YA MWANADAMU

Mola wetu ametuumbia aina nyingi za vyakula kwa ajili yetu. Ingawa, Ametukataza tusile na tusinywe aina za vyakula vyenye madhara kwasababu Ana ukarimu na huruma isiyo na ukomo. Hamtwishi mja wake mzigo mzito ambao ni nje ya uwezo wake. Maamrisho na makatazo yake ni rahisi kutekelezwa. Kwani mtu atapoteza nini akiacha kunywa pombe na ikiwa hali nyama ya nguruwe?

Hilo jibu kama alijakutosha niambie mkuu nitakupa jibu jingine cha umuhimu nataka upate elimu tu
Sasa babu yangu amekula hiyo nyama pendwa na ameishi zaidi ya miaka 100...

Hebu tupe madhara serious basi.
 
Back
Top Bottom