PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
 
Huku , mtaani wanasema lissu amepewa kesi ya uhaini Ili kupunguza Kasi ya wananchi kupewa elimu ya Uraia na lissu....
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Ni kweli
 
..Tundu Lissu ni intellectually sharper ukimlinganisha na Samia Suluhu.

..Mazingira hayo ndiyo yamesababisha Samia ajifiche, ashindwe kujitokeza mbele ya wananchi.

..Na kwasababu Samia hawezi kuwasiliana na wananchi, basi Lissu anafanyiwa hila na dhuluma kwa kuwekwa kizuizini.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.

Ipo wazi sana hii kiongozi...
 
Mwitikio ni Mkubwa sana
 
Umemaliza kabisa
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisambaratisha chama.

Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza nchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.

Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
 
Back
Top Bottom