- Thread starter
- #81
Tundu Lissu nadhani ana uwezo mkubwa sana wa kuongea lugha za ovyo,sizizo za kiungwana wala ustaarabu na za kishenzi.Saa nyingine utajiuliza hivi kweli ni mtaznzania mwenzetu huyu ? Mnaendelea kumtia bichwa halafu mnamuacha gerezani anaingia peke yake.
..anapozungumzia udhalimu wa Ccm ndipo hutumia lugha ngumu, lakini stahiki.
..tatizo Ccm mko madarakani halafu hamtaki kuambiwa makosa yenu, au yakifanyika mambo ya kishenzi mnataka wananchi wasitoe hisia zao.