PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..tatizo Mama Samia ame-paralyze kiuongozi.

..wateule wake hawamsikilizi na hawamheshimu na yeye amekosa ujasiri wa kuwachukulia hatua.

..haiwezekani mambo yaende namna hii wakati Rais Samia amesema falsafa yake ni 4R. She is a total failure.
Samia amewadharau CHADEMA siyo kwamba ame paralyse kiuongozi.. Alileta 4R na mambo yakaanza kubadilika na Lissu mwenyewe akawa mnufaika mkuu wa 4R.

Sasa Lissu alipoanza dharau na matusi, dola ikamuambia Samia kaa pembeni, tuache tu deal na wahuni.

Sometimes kwenye uongozi unakuja na ile style ya kumchinja ngamia. Ukitaka kumchinja ngamia siyo lazima umuelekeze "kibra", bali unachinja kuelekea kulekule aliko lalia.

Lissu amekuja kibabe, na dola imemjibu kibabe period. Tusubiri Mahakama
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Hilo lipo wazi halihitaji uwe na degree
 
Na Mbowe aliepewa kesi ya ugaidi na Samia ilikuaje.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Tundu anaweza kuwa Waziri Mkuu tu lakini kwa URAIS ni BIG NO. Watu wa type yake wanaojiamini kuwa wanajuwa kila kitu huwa hawa MAKE GOOD PRESIDENCY.

Huyu Tundu ni mzuri kwa kutumwa ila siyo kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi.
 
You are right.....kuna mtaalam wa Psycholojia amesema Tundu Lissu ni Msafisha njia. Yupo Mtu nyuma yake anakuja kuwa Rais Soon.
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.

Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.

Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Kwa kuwaza utumbo hujambo. Toka alipochaguliwa alikaa mda gani na mkamkamata lini?
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Tundu Lissu nadhani ana uwezo mkubwa sana wa kuongea lugha za ovyo,sizizo za kiungwana wala ustaarabu na za kishenzi.Saa nyingine utajiuliza hivi kweli ni mtaznzania mwenzetu huyu ? Mnaendelea kumtia bichwa halafu mnamuacha gerezani anaingia peke yake.
 
Usimsingizie samiah, Nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mwenye upeo kuzidi Tundu Lissu, hata nyerere namtoa. NO REFORM NO ELECTION
Nyerere na Lissu wako on par kwenye upeo, tofauti kidogo iliyopo kati yao ipo kwenye vipengele vichache ndani ya falsafa zao. Mtazamo wangu tu.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.

Hilo liko wazi. Samia na Lisu waliwahi kufanya kazi pamoja, na Lisu akiwa boss wake. Suala la aliyekuwa chini kuwa juu ya aliyekuwa juu take siyo jambo la ajabu, ajabu ni kumfangia aliyrkuwa juu yako ushenzi, ukiamini kwa kufanya hivyo ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kuwa kwenye nafasi iliyokudondokea.

Rais Samia angeonekana ni mwenye hekima sana, kama angemalizia kipindi chake cha mpito, na kwenda kupumzika. Uamuzi wa namna hiyo ungemjengea heshima kubwa ndani ya CCM na ndani ya nchi. Hiki anachokifanya sasa kinamchafua kwa namna itakayomshangaza.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Yes
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.

Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.

Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Wewe hapo ulivyo ni sababu ya Ulaya kuueneza huo ushoga!!?
Mbona mmpo wengi na kitambo kabla hata haya mambo ya EU!!??
 
Nani kakuambia kujua sheria ndiyo uwezo wa uongozi?? Kwa taarifa yako nina MBA na nimewahi kuongoza taasisi kubwa nchini.
Kuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.
Viongozi wengi wa taasisi kubwa ni wenye vyeti vingi na vizuri, lakini kichwani na utendaji ni zero.

Kama makaratasi yanayoitwa vyeti waliyonayo Watanzania yangekuwa na msaada kwenye kutatua changamoto za Mtamzania, basi Tanzania ingekuwa zaidi ya Norway.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Ogopa sana watanzania, unawezakuta hao uliowahoji walikuwa wanakuchengesha bwege tu.......subiri kwenye kura ndo utajua.
 
Back
Top Bottom