PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe hapo ulivyo ni sababu ya Ulaya kuueneza huo ushoga!!?
Mbona mmpo wengi na kitambo kabla hata haya mambo ya EU!!??
Mbona wanachadema chakavu mnakuwa wakali sana likitajwa hilo swala wakati wameliweka wazi kabisa wenyewe?!!!!🤣🤣🤣
 
Sa100 ana uwezo mdogo mnoo kumlinganisha na Lissu, hata yeye analijua hilo, ndio maana anamfanyia figisu!!.
We fuatilia free flowing ya hao wawili utaona tofauti ya mbingu na ardhi!!!.
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.

Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.

Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Hao mashoga wa dar, Mombasa, Tanga na Zanzibar nao wametengenezwa na lissu
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Hili mbona liko wazi na wala tusipoteze muda kumlinganisha yule bibi na Lissu; kwa hakika tusimlinganishe Lissu na takataka yoyote fisiemu, yale yote mapanya tu
 
Kuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.
Viongozi wengi wa taasisi kubwa ni wenye vyeti vingi na vizuri, lakini kichwani na utendaji ni zero.

Kama makaratasi yanayoitwa vyeti waliyonayo Watanzania yangekuwa na msaada kwenye kutatua changamoto za Mtamzania, basi Tanzania ingekuwa zaidi ya Norway.
šŸ“Œ šŸ”ØšŸ”ØšŸ”Ø
 
Na Mbowe aliepewa kesi ya ugaidi na Samia ilikuaje.
Nenda kasome tena mafaili ya kesi. Samia ameingia amekuta kuna matukio ya "ugaidi" ya miezi ya Octoba- Novemba 2020 yanayomhusu Mbowe. Na kuthibitisha hivyo Mbowe mwenyewe hakuwa nchini hadi Magufuli alipofariki ndiyo akarudi. Kwa hiyo lugha ya Samia alimpa Mbowe kesi ya ugaidi siyo sawa
 
Kuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.
Viongozi wengi wa taasisi kubwa ni wenye vyeti vingi na vizuri, lakini kichwani na utendaji ni zero.

Kama makaratasi yanayoitwa vyeti waliyonayo Watanzania yangekuwa na msaada kwenye kutatua changamoto za Mtamzania, basi Tanzania ingekuwa zaidi ya Norway.
Hiyo hainihusu, nina MBA na nilikuwa kiongozi na nilifanikiwa
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Kinachowaponza chama kikongwe ni kuishi kwa mazoea. Matokeo yake wametengeneza kundi kubwa lisilo na uwezo wa kujibu hoja. Kwa sababu wanategemea usaidizi wa vyombo vingine vya dola wamekua wavivu wa kujifunza, wavivu wa kubadilika kulingana na nyakati na zaidi sana wamejaa kibri kana kwamba wananchi ni walewale wa 1960s.
Nilitegemea katibu mwenezi wa chama kuwa ni mtu wa hoja kila akipanda jukaani. Lakini amegeuka vioja, hana hoja binafsi anasubiri watasema nini ili ajibu na akijibu ni vitu vya aibu tupu kwa taifa🤭🤭.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Hilo lipo wazi
Madamae hana uwezo zaidi ya kucheza taarabu na kuhudhuria matamashs ya wasanii
 
Tundu Lissu nadhani ana uwezo mkubwa sana wa kuongea lugha za ovyo,sizizo za kiungwana wala ustaarabu na za kishenzi.Saa nyingine utajiuliza hivi kweli ni mtaznzania mwenzetu huyu ? Mnaendelea kumtia bichwa halafu mnamuacha gerezani anaingia peke yake.
Hebu tutajie hizo lugha za ovyo na zisizo za kiungwana nasisi tuzijue?
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Umemuonea sana Samia. Samia si wa kumfananisha na Tundu Lissu. Mfananishe na Kigala,John Mrema au Mwaimu.

Au mlinganishe na Lucas Mwashamba, Tlatlaa ndo types zake.
 
Back
Top Bottom