PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.
Walisambaratika wale waliokuwa hawataki mabadiliko. Nothing else. Mtu huwezi kumzuia kujisambaratisha akama anataka. Lissu asihusishwe
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.

Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.

Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana

..hoja ya kuuza nchi ungeachana nayo.

..Samia tayari amechafuka kwa mikataba yake ya kuuza rasilimali za upande mmoja wa muungano.

..kuhusu masuala ya ushoga nayo ungeachana nayo. Kuna minong"ono kuwa ofisi fulani takatifu hapa nchini kuna msagaji.

..tujikite kwenye upeo wa kisomi, uwezo wa kuchambua mambo, na tabia ya udadisi na kujifunza, baina ya Samia Suluhu dhidi ya Tundu Lissu.
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Vipi kuhusu kusema watafanya uasi na kukinukisha??
 
Sijui hata chuo ulishawai fika.waulize wanachuo waliokuwa wanasomea sheria siku akifika hata kama ufahamu sheria utajua sheria
 
..Chadema wanataka REFORMS ili uchaguzi uwe wa HAKI na serikali ipatikane kwa njia HALALI.

..Waasi na Wahaini huwa wanataka madaraka kwa nguvu bila kupitia uchaguzi.

..Hakuna siku hata moja ambayo Tundu Lissu amewahi kutafuta uongozi nje ya taratibu za uchaguzi wa kidemokrasia.

..Kwa upande mwingine, hivi wasiojulikana sio magaidi? Na CCM wanaounga mkono genge la wasiojulikana tuwachukulieje?
 
Kuna logic fulani hapa.
Japo mimi naamini SAMIA ana nafasi kubwa ya kushinda.
Sijui uoga wa kumkamata umetokana na nini!!!!.
Huwezi UKAROPOKA haya maneno na Serikali ikakuchekea, lazima uchezee kwenye kuta za Ukonga;
 
..hoja ya kuuza nchi ungeachana nayo.

..Samia tayari amechafuka kwa mikataba yake ya kuuza rasilimali za upande mmoja wa muungano.

..kuhusu masuala ya ushoga nayo ungeachana nayo. Kuna minong"ono kuwa ofisi fulani takatifu hapa nchini kuna msagaji.

..tujikite kwenye upeo wa kisomi, uwezo wa kuchambua mambo, na tabia ya udadisi na kujifunza, baina ya Samia Suluhu dhidi ya Tundu Lissu.
Still Lissu hawezi kuwa kiongozi mzuri. Uongozi haupimwi kwa uwezo wa kubishana, ni hekima tu ndiyo kitu kikubwa. Lissu hana HEKIMA ndiyo maana regime zote 2 ameingia nazo matatizo. Awamu ya 5 Magu alimpiga risasi na awamu ya 6 iliyomrudisha kutoka UHAMISHONI na kumlipa stahiki zake za ubunge imemfungulia mashtaka ya uhaini.

Kama mpaka hapo huoni kuwa Lissu ana mapungufu makubwa basi nawe una mapungufu pia
 
Sijui hata chuo ulishawai fika.waulize wanachuo waliokuwa wanasomea sheria siku akifika hata kama ufahamu sheria utajua sheria
Nani kakuambia kujua sheria ndiyo uwezo wa uongozi?? Kwa taarifa yako nina MBA na nimewahi kuongoza taasisi kubwa nchini.
 
Vipi kuhusu kusema watafanya uasi na kukinukisha??

..sasa hivi ni kama CCM wamepoteana.

..Simbachawene anasema muda hautoshi.

..Doto Biteko inategemea ameamkaje. Kuna siku anasema marekebisho yameshafanyika. Wakati mwingine anasema milango ya kufanya marekebisho iko wazi.

..Kassim Majaliwa yeye ameamua kukaa kimya utadhani hayamhusu.

..Mama Samia haijulikani kama yuko ofisini, au yuko likizo.
 
Still Lissu hawezi kuwa kiongozi mzuri. Uongozi haupimwi kwa uwezo wa kubishana, ni hekima tu ndiyo kitu kikubwa. Lissu hana HEKIMA ndiyo maana regime zote 2 ameingia nazo matatizo. Awamu ya 5 Magu alimpiga risasi na awamu ya 6 iliyomrudisha kutoka UHAMISHONI na kumlipa stahiki zake za ubunge imemfungulia mashtaka ya uhaini.

Kama mpaka hapo huoni kuwa Lissu ana mapungufu makubwa basi nawe una mapungufu pia

..tatizo Mama Samia ame-paralyze kiuongozi.

..wateule wake hawamsikilizi na hawamheshimu na yeye amekosa ujasiri wa kuwachukulia hatua.

..haiwezekani mambo yaende namna hii wakati Rais Samia amesema falsafa yake ni 4R. She is a total failure.
 
..Chadema wanataka REFORMS ili uchaguzi uwe wa HAKI na serikali ipatikane kwa njia HALALI.

..Waasi na Wahaini huwa wanataka madaraka kwa nguvu bila kupitia uchaguzi.

..Hakuna siku hata moja ambayo Tundu Lissu amewahi kutafuta uongozi nje ya taratibu za uchaguzi wa kidemokrasia.

..Kwa upande mwingine, hivi wasiojulikana sio magaidi? Na CCM wanaounga mkono genge la wasiojulikana tuwachukulieje?
Yesu angekua na mihemko ya kitoto Kama Lissu angeuawamaoema kabla ya wakati maana waandishi na mafarisayo walitafuta sana wamnase kwa maneno lakini hawakuiweza hekima yake.
 
..sasa hivi ni kama CCM wamepoteana.

..Simbachawene anasema muda hautoshi.

..Doto Biteko inategemea ameamkaje. Kuna siku anasema marekebisho yameshafanyika. Wakati mwingine anasema milango ya kufanya marekebisho iko wazi.

..Kassim Majaliwa yeye ameamua kukaa kimya utadhani hayamhusu.

..Mama Samia haijulikani kama yuko ofisini, au yuko likizo.
Hizi kauli za kusema wamepoteana mnaongea ninyi mashabiki lakini uchaguzi Upo pale pale!
 
Yesu angekua na mihemko ya kitoto Kama Lissu angeuawamaoema kabla ya wakati maana waandishi na mafarisayo walitafuta sana wamnase kwa maneno lakini hawakuiweza hekima yake.

..kwa maoni yangu, kufanya Reforms ni sahihi zaidi kuliko kutafutana, kuviziana kwa nia ya kuangamizana.

..kumuua mtu kama Mdude Tanzania tumepata faida gani?

..kwanini tuinajisi mahakama yetu kwa kesi ya uhaini dhidi ya Lissu wakati tunajua hakukuwa na njama hizo?

..hao wanasheria wa serikali wanaotumika kumkandamiza Lissu kwa mashtaka ya uongo kwanini wasitumike kuandaa muswada wa marekebisho ya sheria za uchaguzi?
 
Hizi kauli za kusema wamepoteana mnaongea ninyi mashabiki lakini uchaguzi Upo pale pale!

..kimabavu wako vizuri.

..lakini wameshindwa kabisa kutetea hoja kwamba uchaguzi ufanyike bila kurekebisha sheria.
 
No reform no election. Imekushika makalio nini
Wewe imekushika mapumbu

Screenshot_20250512_090706_Google.jpg
 
Ukweli ndio huo.

Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.

Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.

Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Ni kweli kwenye mikutano ya Chadema Lissu anakubalika kuliko Samia.
Lakini si kweli kwamba hata kwenye mikutano ya CCM Lissu anakubalika kuliko Samia.
 
Back
Top Bottom